Msaada wenu wadau. Modem inasumbua

GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,087
2,193
Wadau habari za majukumu. Ninatumia modem ya Huawei mobile broadband E173 katika window 10. Nikiweka modem window inatoa alert ya kuashiria kuna new divice. Lakini kidogo tena inatoa alert ya ku eject divice. Nikienda kweny shortcut ya program na kuifungua inaonesha network bars zpo full. Nikiconnect inakubari na kweny computer kunaonesha network access ipo vzuri. Lakin nikifungua browser na kujaribu kugoogle naambiwa no internet. Wadau naomba mnisaidie namna ya kutatua hli tatzo. Nawasilisha
 
Kompyuta yako ndiyo inakataa software ya moderm.

1. Jaribu ku disable security settings kabla huja install.

2. Tafuta software ya hiyo moderm yako iliyo compatoble na W10 kwenye mitandao. Hii inahusisha pia kusoma blogs zinazohusiana.

3. Install ukiwa kwenue SAFE MODE.

4. REJESHA MREJESHO UKIFANIKIWA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eudorite
ahsante sana lakn naomba unieleweshe namna ya kudisable security setting na namna ya kupata hyo software ya modem
 
Back
Top Bottom