naija-lojja
Senior Member
- May 13, 2017
- 163
- 64
Habari zenu wanajamii, naomba kujuzwa ni app gan nmazitumia kudownload tvseries na kuangalia kupitia kupitia app store... alaf nawezaje kupata vshare free bila kulipia ??
Habari zenu wanajamii, naomba kujuzwa ni app gan nmazitumia kudownload tvseries na kuangalia kupitia kupitia app store... alaf nawezaje kupata vshare free bila kulipia ??
mmoja wa??
sent from my iphone 6s
Unapenda sana vya bure?
Subiri wenzio waje sisi kila kitu tunalipia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cunajua tena usawa wa mkuku
Mwanzoni ulikuwa unatumia App gani ku download series?? Na hiyo App ya Vshare nimejaribu kuitafuta sijaiona, inahusiana na nini au unaweza weka link yake hapa
Kipind natumia android nlikua natumia Terrenium tv
Mkuu tuna download kwa resolution yoyote hizo series kisha tunahamishia kwenye flash au external kisha tunaangalia ktk tv.Apple wapo strictly sana kwenye ishu za copyright infringement so usitegemee kukutana na kitu kama hicho katika AppStore tena bure.
Ila tukirudi kwenye swali muhimu, "Kwanini utumie simu kuangalizia tv series na sio computer au Tv kabisa!!??"
Mkuu tuna download kwa resolution yoyote hizo series kisha tunahamishia kwenye flash au external kisha tunaangalia ktk tv.
Haya mambo huku apple naona ni magumu kidogo,embu tupe maujuzi.
Kama simu yako ipo jailbroken Zipo Applications lakini mpka simu iwe jailbroken kama PlayBox HD - Free Download (Ver:2.0) for iOS - AppSoDo.com na Popcorn Time
Asee mkuu hii jailbroken nmekutana nayo ila cjaielewa ebu nijuze vizur hii kitu
Netflix
Kule kwenye android linatumika neno 'Root' huku kwenye iOs ndio hiyo 'Jailbreak'. Ambapo inaondoa limitations nyingi na kukupa uhuru zaidi hiyo ikiwa ni pamoja na uwezo wa kuinstall applications ambazo hujazidownload kutoka AppStore au hazipo kabisa kwenye AppStore. Hivyo hata za kulipia utaweza kuziweka bure japo mwisho wa siku kifaa chako kinakuwa vulnerable na tegemea pia ubora wa kifaa chako kupungua uwezo wake.