Naweza kupata desktop computer kwa sh. 100,000/= ?

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
3,643
Reaction score
4,184
Wakuu,
Kwa wanaofahamu hivi vifaa,

Nina kiasi tajwa hapo juu,
lengo niende Kariakoo kununua Desktop Computer.

Naomba kujuzwa,
Naweza kuipata iliyokamilika kwa kiasi hicho?
 
cpu 140,000 ...monitor inchi 17 78,000 kima cha chini kabsa ambapo unapata desktop nzuri ...nimenunua ijumaa ya wiki iliyopita ni nzur
 
umenunua sehemu gani mkuu?
kariakoo kuna duka la discount kubwa apo uwa zipo but for now cpu zimeisha za 140 ..,zipo za 188,000 so cpu nikanunulia duka lingne laitwa it park computer liko mtaa wa kongo kkoo
 
Jaman apo kkoo kuna duka la TAWFIQ COMPUTER jamaa anauza bei poa ila tangu ninunuage had Leo duka nalitafutaga silioni...wala ule mtaa siuonagi dah kkoo nimeuvulia kofia ukizingatia mgeni pande izo.....
 
haha mjini hatar..,
 
Watakuwa wamehama na hilo duka likawa linauza bidhaanyingine kabisa.
 
Jaman apo kkoo kuna duka la TAWFIQ COMPUTER jamaa anauza bei poa ila tangu ninunuage had Leo duka nalitafutaga silioni...wala ule mtaa siuonagi dah kkoo nimeuvulia kofia ukizingatia mgeni pande izo.....
[emoji1] [emoji1] [emoji1] umenikumbusha niliwahi paki gari nikavuka mtaa kurudi pekeyangu sikuiona gari nilitafuta mpaka nikaomba msaada msimbazi polisi
 
8e5279762521762d56b076404e7a5caf.jpg

Ninayo bei chee cpu HP 500B nicheck kwa 0718019595 nikupe kwa 100
 
Back
Top Bottom