Subtitles ku lag behind kwenye movies

Perpendicular

JF-Expert Member
Jul 5, 2015
1,494
1,178
Tatizo la subtitles kuchelewa kidogo au kuwahi naomba msaada katika hili tatizo natumia PC
Natumia MPC-HC player kuplay hizi movies.
Je kunauwezekana wa kuspeed hizi subtitles au kuslow ili kuweza kumatch?
Pia naomba kama kuna player ambayo inaweza kuwa nzuri zaidi katika ku add hizi subtitles bila longo longo ila isiwe VLC player.

Cc:
Chief-Mkwawa
 
hapo kuna njia mbili.

1. subtitle si ya quality ya hio movie au encoder ni tofauti. download subtitle husika, mfano movie yako ni tom and jery 720p brrip encoded by yts ukidownload subtitle ya tom and jery 480p dvdrip encoded by nitro inaweza isi sync.

2. manual upeleke mwenyewe subtitle ziwahi au zichelewe. pitia hapa

How to sync your subtitles with media player classic
hapa nimejifunza kitu mkuu
 
Mimi natumia potplayer huwa si downloads subtitle bali nimeset pale movie au wimbo unapoplay itafute online halafu inaadd kwenye movie au wimbo. Nikiona subtitle inachelewa au kuwahi naenda kwenye list ya subtitle zilizopo online nachagua nyingine, tatizo linakuja pale zote zilizopo haziendi sawa na ninachoplay.

Mara nyingi nikitafuta subtitles kupitia google huwa sifanikiwi kwa asilimia 100.
 
Back
Top Bottom