Msaada: Kuna mtu amehack simu yangu

rubii

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
14,019
18,473
Habari zenu wapendwa.
Mwenye uelewa wa nini chakufanya anisaidie jamani
Napiga simu nayeye anapata taarifa yote
Msg zangu anauwezo wa kuzisoma na kujibu yeye zote za kawaida na whatsapp pia
Hata location yangu anaijua kila ninaposogea.
 
Kama ni mpenzio muache tu. Akikua ataacha. Otherwise nenda kwa simu provider wako atakushauri. Kwa msaada wa haraka nenda kwenye settings halafu restore factory settings. Itafuta kila kitu kwenye simu yako pamoja na picha kwa hiyo hakikisha unaweka backup
 
Wew umejuaje

Chakufanya ni kuacha kuchepuka. Lengo lake akukamate sasa kama huwezi kuendana na kasi yake njoo pm tuongee bei ya hiyo simu uniuzie ununue nyingine ambayo hataweza kuweka hiyo kitu.
 
Asante na Bora angekua mpenzi. Sijamfahamu ni nani mpaka dakika hii ananizungusha tu
 
ukirestore utabadili email password yako na ufanye options ya kukubali kubadili kwenye vifaa vyote unavyotumia kuwasiliana.
 
Nahisi huyo ni mtu wa karibu kabisa na wewe sababu kama anaweza kufanya yote hayo ni lazima alikuwa na access na simu yako,ingekuwa sio mpaka watsap bas ingekuwa labda ni mtu alieko kitengo kwenye network unayotumia,lakini kama ni mpaka whatsapp bas itakuwa aliinstall kitu ndani ya simu yako.
 
Chakufanya ni kuacha kuchepuka. Lengo lake akukamate sasa kama huwezi kuendana na kasi yake njoo pm tuongee bei ya hiyo simu uniuzie ununue nyingine ambayo hataweza kuweka hiyo kitu.
Chakufanya ni kuacha kuchepuka. Lengo lake akukamate sasa kama huwezi kuendana na kasi yake njoo pm tuongee bei ya hiyo simu uniuzie ununue nyingine ambayo hataweza kuweka hiyo kitu.

Duh Uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo?! Asante kwa mawazo yako
 
ingia ktk app manager angalia application zilizopo ukiona usiyoielewa(inayohusu spy) uninstall hiyo, hakuna haja ya kureset
 
Habari zenu wapendwa.
Mwenye uelewa wa nini chakufanya anisaidie jamani
Napiga simu nayeye anapata taarifa yote
Msg zangu anauwezo wa kuzisoma na kujibu yeye zote za kawaida na whatsapp pia
Hata location yangu anaijua kila ninaposogea.
Kasheshe hilo, huyo mtu hawezi kukuambia yeye ni nani lakini siku ukimjua utashangaa sana maana ni mtu wa karibu yako kabisa kama si mpenzi wako ama mkeo/mumeo au ni rafiki tu wa karibu sana lengo ni kuku spy mawasiliano yako. Kumbuka vizuri mtu ambaye anauwezo wa kutumia simu yako ni nani maana atakua amefanya hivi, kachukua simu yako kadownload app yoyote ya spy then akaisajili kwa email yake then aka hide hiyo app kwenye simu yako sasa yeye akienda ku login kule kwenye web basi kila kitu kinachoendelea kwenye simu yako anakipata, kuna spy app zingine zina spy mpaka whatsapp ila kama hiyo app haina uwezo wa kuona whatsapp basi upande wa whatsapp alichokifanya yeye amefungua whatsapp web kwenye computer yake inakuja barcode fulani hivi akachukua simu yako akaingia whatsapp akafungua camera akalengeshea kwenye ile barcode ya kwenye laptop yake basi whatsapp yako inafunguka kule pia. Akarudisha cm yako, sasa kila unapokua online na kule unasomeka online yaane yeye pia anauwezo wa kumjibu mtu pia. Kwenye upande wa sms za kawaida wewe angalia app yoyote kwenye simu yako kama inahusiana na spyng itoe
 
ingia ktk app manager angalia application zilizopo ukiona usiyoielewa(inayohusu spy) uninstall hiyo, hakuna haja ya kureset
huyo kaku spy sasa kabla huja fanya restore ongea kwanza na mpenzi/mume wako kabla ili akuhakikishie kama si yeye na baada ya hapo mshirikishe hatua gani unataka kuifanya ili kuondokana na hali hiyo, kwa nn nasema hivi inaweza kuwa ni mpenzi/mume ndiye aliye ku spy na kama utatoa bila kumueleza itamuongezea kuto kukuamin , kama si yeye kuna namna ya ku kutoa si apps zote huwa zinaonekana zonawekwahasa hizi za ku spy kama ni strictly hutaweza hata kufanya hiyo restoration maana huwa kuna psscode zonawekwa kuzuia hiyo factions.
 
huyo kaku spy sasa kabla huja fanya restore ongea kwanza na mpenzi/mume wako kabla ili akuhakikishie kama si yeye na baada ya hapo mshirikishe hatua gani unataka kuifanya ili kuondokana na hali hiyo, kwa nn nasema hivi inaweza kuwa ni mpenzi/mume ndiye aliye ku spy na kama utatoa bila kumueleza itamuongezea kuto kukuamin , kama si yeye kuna namna ya ku kutoa si apps zote huwa zinaonekana zonawekwahasa hizi za ku spy kama ni strictly hutaweza hata kufanya hiyo restoration maana huwa kuna psscode zonawekwa kuzuia hiyo factions
 
Sawa mkuu. Je, itanibidi kubadilisha na email nayotumia kwa simu?
Factory reset baasss..au angalia kama kuna ki application kinaitwa spy... kama hamna factory resert af endelea kutumia email hyohyo.akiendelea ndo utajua kuwa anatumia email kuiingilia cm yako
 
Back
Top Bottom