Msaada wakuu, Nokia Lumia N9 inakataa kushika network

Msaada wakuu, Nokia Lumia N9 inakataa kushika network

marveljt

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2017
Posts
1,503
Reaction score
1,479
Za mchana waungwana. naomba msaada kidogo nina simu yangu nokia lumia n9 niliiweka kapuni kwa muda sasa juzi nimeiwaisha na kuiwekea laini imekataa kushika network, ukiweka inaandika mobile network setting not available, sim card error.

Je nitawezaje kuirudisha hewani. IMEI yake iko sawa na kipindi simu zinafungiwa ilikuwa hewani hadi mwaka huu mwanzoni ndiyo niliacha kuitumia
 
apagosi, post: 23140516, member: 429632"] hapo awali ilikuwa hahisumbui chochote mkuu? [/QUOTE]

haikuwahi kusumbua kitu.nilikuwa natumia laini yoyote ila sasa haikubali laini yoyote.
 

Attachments

  • UKIWEKA KUTAFUTA MANUAL.jpg
    UKIWEKA KUTAFUTA MANUAL.jpg
    130 KB · Views: 46
  • IMG_20170831_134058.jpg
    IMG_20170831_134058.jpg
    98.9 KB · Views: 44
  • BILA LAINI.jpg
    BILA LAINI.jpg
    114.4 KB · Views: 35
  • LAINI IKIWA NDANI.jpg
    LAINI IKIWA NDANI.jpg
    137.6 KB · Views: 31
so huwezi search network kabisa manual? inaweza ikawa ni hardware problem.
 
Back
Top Bottom