Msaada: Jinsi ya kutumia namba mbili za Whatsapp kwenye simu moja

sir None

JF-Expert Member
Jul 9, 2016
428
212
Naomba maelekezo jinsi ya kuweza kutumia whatsap mbili kwenye simu moja. Kama kuna mtu mwenye hyo soft ware itanisaidia zaidi
 
Ingia playstore download app inayoitwa parallel space,ukishaifungua itakiletea apps ambazo zipo installed kwenye simu kwa pembeni utaona kialama cha ki add + kibonyeze kisha add whatsapp.
 
Download whatsapp mbili kisha ingiza izo namba kila whatapp
Remember : whatsapp moja utaitoa playstore na nyingine utadownload google inaitwa whatsapp gb au unaweza download WhatsApp+ iko vizur pia japo hiyo WhatsApp Gb ndo nzur zaid kisha install alaf weka namba ana uanze kutumia

Unaweza kuweka WhatsApp zaid ya 2 mzee ni wewe tu na ujanja wako. Fanya ivo poa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
alternative kama una samsung mpya mpya unaweza ukadownload secure folder toka playstore ni solution ya samsung wenyewe.
 
Back
Top Bottom