machaedo
Member
- Jan 13, 2017
- 37
- 9
Hii hali imetokea Baada ya ku update computer so sijui nifanya je wandugu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi hizo driver ztakuwa hazijawa updated lakn uslizike na majibu yangu tu nakuomba uwasubiri na wadau waje wataaalam zaid watakuelezea kiundani zaidHii hali imetokea Baada ya ku update computer so sijui nifanya je wandugu
Sent using Jamii Forums mobile app
Make sure una active intaneti kwenye Pc [ tumia usb tethering au Modemu]Hii hali imetokea Baada ya ku update computer so sijui nifanya je wandugu
Sent using Jamii Forums mobile app