Coding and programming class.

Coding and programming class.

Nicklaus

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2014
Posts
464
Reaction score
460
Kichwa cha habari chahusika. Wanajamv naomba msaada kwa yeyote anayefahamu sehemu wanayofundisha just coding or programming dar es salaam anielekeze. NB: isiwe chuo kikuu kama udsm na ifm. Just teaching centre.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
La kukushauri ni kwamba which language unataka kuijua we hv a lot of languages in programming na huwa tunaistruct but most of the tyme unatakiwa kusoma mwenyewe always

sasa uliposema isiwe chuo kikuu kama UDSM na IFM sijui DIT na vyo vingine umevisahau au tu ulimaanisha hivo viwili?
huwa nikipita pale DIT mbele kuna bango linaonesha wanafundisha Programming languages.
unaweza kufatilia hapa kwenye hii link!

.:: India Tanzania Centre of Excellency in ICT | Tanzania

pia kuna member hapa JF anaitwa Stefano Mtango huwa ana conduct regular classes za programming hivo waweza mcheki pia.

Mind you kwamba Knowing a Programming language and Knowing to Program a software with it,is entirely another phenomenon.
probably,utafundishwa basics za Programming ambazo itabidi ujiongeze na kuzitumia kuwa programmer katika environments mbali mbali!
 
La kukushauri ni kwamba which language unataka kuijua we hv a lot of languages in programming na huwa tunaistruct but most of the tyme unatakiwa kusoma mwenyewe always

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninachoitaji mm ni language ya kuniwezesha kuprogram sofware na web application, na kuhusu kujifunza na kusoma mwenyewe haina as long as nina mentor kwenye hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa uliposema isiwe chuo kikuu kama UDSM na IFM sijui DIT na vyo vingine umevisahau au tu ulimaanisha hivo viwili?
huwa nikipita pale DIT mbele kuna bango linaonesha wanafundisha Programming languages.
unaweza kufatilia hapa kwenye hii link!

.:: India Tanzania Centre of Excellency in ICT | Tanzania

pia kuna member hapa JF anaitwa Stefano Mtango huwa ana conduct regular classes za programming hivo waweza mcheki pia.

Mind you kwamba Knowing a Programming language and Knowing to Program a software with it is entirely another phenomenon.
probably,utafundishwa basics za Programming ambazo itabidi ujiongeze na kuzitumia kuwa programmer katika environments mbali mbali!
Asnte mkuu, but najua baadh ya hizo basic but kitu kigumu ambacho bado sijakielewa n jins ya kuzitumia kwenye kucode software eg web application.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asnte mkuu, but najua baadh ya hizo basic but kitu kigumu ambacho bado sijakielewa n jins ya kuzitumia kwenye kucode software eg web application.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lugha gani unatumia?
Ni vema ungetafuta online Tuts ambazo wana Code Real Projects kama kweli una Basics tayari zitakupeleka Next level!
 
Oy wataalamu wa coding interesting challenge hapa
problem: implement a function that generates prime numbers
nimejaribu naona ina feli kwenye n = 7
mwenye wazo atoe shauri
 
Back
Top Bottom