Kila nikiwasha PC yangu yanakuja MANENO haya" Ur Window license will expire soon, u need to activate window in setting......Tar 7/9 /2017 ndio inasema INA expire......Kumbka hii PC ni mpya hata...
Habari wanajukwaa la elimu? bila shaka hamjambo, nina kitu nataka niwashirikishe hapa,
Baada ya kunyanyaswa sana na mapenzi natafuta msaada jinsi ya kupata roboti ambalo litakua linafanya...
Wadau kwa siku za karibuni nimekuwa nikiona remote control za decoder za azam hazifanyi kazi vizuri yaani zinakataa kataa pale unapoielekeza remote kwenye decoder, mfano unapotazama tv ukitaka...
Hakuna haja ya kuwa na ujuzi mkubwa, Utachohitaji ni google tu, Jifunze kupitia video hii yenye maelezo kwa kiswahili namna ya kudownload movies kwa wepesi zaidi bila kutumia software za ziada.
Nawashukuru sana continental kwa kuja upya mmenikosha moyo wangu
Ni muda mrefu wateja wa continental walikuwa wamekata tamaa baada ya kuweka machannel ambayo yalikuwa yanachosha watazamaji...
Tianhe-2, which means Milky Way-2, operates at 33.86 petaflop/sec, which is the equivalent to 33,860 trillion calculations per second. Meanwhile, an average high-performance computer approximates...
Naombeni msaada kama kuna mtu mwenye code za php zenye uwezo wa kugeuza data to pdf file anisaidie
Maana nimetumia za ajax ila naona zijakizi vigenzo nnavyotaka
Pia hata javascript poa...
wakuu kicha cha thread kinajieleza nipo natengeneza Data base, sasa nahitaji database management systeam(DBMS) kama microsoft SQL server
sasa mwenye msaada wa link ya kuipata hiyo server ili...
Nimeunganisha deki na TV. Nikichomeka USB Ili nisikilize music. Lakini haifanyi kazi. Inaniandikia hivi
Nimehangaika naona siwezi kutatua. Msaada wenu. Natumia HOTPOINT TV.
I'm the queen of...
huku mkoani hasa nikiwa nimesubscribe kwa unlimited ya Mwezi unakuta mara kadhaa kwa wiki spidi inakuwa 2g, ukipiga wanasema kuna tatizo ila saa sita usiku spidi lazima iwe nzuri sometimes mpaka...
Wakuu naomba sehemu nitakayoweza kusomea Programming full course na niwe certify kabisa na nipate cheti za hii course asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani voda noma 500 unapewa sms 500 ,mb 500 na dakika 50 hii vyuoni tu na speed yake iko poa.
Yaan nimemiss hiyo offer nipo likizo nilizoe kushusha vampire diaries.
Wataalam hatuwezi kuhack hii...
Wadau ninaomba mwenye kujua setting za internet za hawa halotel kwenye android phones
Name: HALOTEL
Apn: b_internet
Then save.
Ila me nimeset hivi;
NAME: Halotel
APN: Internet wap
PORT...
Wakuu kama kichwa kinavyosema tatizo hili limeanza hivi karibuni Nikipiga picha haionekani Kwenye gallery inaandika "cant generate thumbnail"
Nawasilisha
Habari za majukumu wana jf.mara nyingi napenda sana kusoma vitabu softcopy lakini. tatizo langu ni moja, naombeni mnisaidie namna ya kuweka alama ya rangi sehemu niliyoishia kusoma ili...