mtu kitu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 702
- 509
Kampuni mamá ya Tigo na Zantel (Millicom ) inasemekana wanafanya mazungumzo ya Siri ma kampuni ya Zimbabwe (Econet wireless), ili Econet wazinunue hizo kampuni mbili za Tanzania.
Wanakimbia nini hawa ? Au ndo weshakamua Afrika sasa hamna ishu tena? Wajuzi wa mambo njooni hapa mtueleze !!!
Millicom to offload remaining African units; Econet linked with deal