Nadhani Nassari na Lema walitumia vifaa kama hivi

Nadhani Nassari na Lema walitumia vifaa kama hivi

Ack

Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
88
Reaction score
87
Nimeamini cha kwanza kuogopa ni Mungu cha pili ni Teknolojia, Hii video inaonyesha vifaa vya kiintelijensia ambavyo wapelelezi wengi huvitumia kukusanya taarifa

Nahisi hata akina Lema na nassari walitumia vifaa kama hivi:

 
Vimewasaidia nini sasa? bora wangebaki vijijini kusaka wanachama wapya kuliko kulilia makapi
 
dunia ya leo ogopa sana MUNGU na teknolojia
 
  • Thanks
Reactions: Ack
Nimeamini cha kwanza kuogopa ni Mungu cha pili ni Teknolojia, Hii video inaonyesha vifaa vya kiintelijensia ambavyo wapelelezi wengi huvitumia kukusanya taarifa

Nahisi hata akina Lema na nassari walitumia vifaa kama hivi:


Kuna kalamu zina rekodi pia zipo zaidi ya miaka 20
 
Yaani ku-expose vitendo vya rushwa kipindi ambapo serikali 'inapambana' na rushwa unaona siyo faida?
hiyo hikuwa ku -expose, vitendo vya rushwa. Zilikuwa kejeli na mbwembwe tu baada ya kuona wamekimbiwa na madiwani wao tegemeo. Ni sawa na mfa maji anavyotapatapa.
 
hiyo hikuwa ku -expose, vitendo vya rushwa. Zilikuwa kejeli na mbwembwe tu baada ya kuona wamekimbiwa na madiwani wao tegemeo. Ni sawa na mfa maji anavyotapatapa.
Seriously? Sasa mbona TAKUKURU wamepokea ushahidi wao? Yaani wewe jamaa unasema zile recordings hazina viashiria vya rushwa? Pamoja na maneno yote aliyosikika akiongea Mnyeti na DED wake?

Au una uelewa tofauti na wangu juu ya vitendo vya rushwa. Ebu ni-enlighten chifu: vitendo vya rushwa ni vipi?
 
hiyo hikuwa ku -expose, vitendo vya rushwa. Zilikuwa kejeli na mbwembwe tu baada ya kuona wamekimbiwa na madiwani wao tegemeo. Ni sawa na mfa maji anavyotapatapa.

Jamaa yangu upumbafu utaacha lini ,mtoto wa kiume wewe????

Unapoelekea utamzidi hata james delicious.....
 
Seriously? Sasa mbona TAKUKURU wamepokea ushahidi wao? Yaani wewe jamaa unasema zile recordings hazina viashiria vya rushwa? Pamoja na maneno yote aliyosikika akiongea Mnyeti na DED wake?Au una uelewa tofauti na wangu juu ya vitendo vya rushwa. Ebu ni-enlighten chifu: vitendo vya rushwa ni vipi?
.
Mkuu, Kabla ya kuangalia uhalisia ya video zenyewe lazima kujihakikishia maudhui yake kwanza. TAKUKURU ni taasisi ya umma na ina wajibu wa kusikiliza na kupokea kinacholetwa mbele yake, pasipo kujali nani kaleta.

Kuhusu hili suala ni ngumu hata kulihusisha na rushwa, kama utafuata kabisa maana ya rushwa katika misingi yake. Hili ni suala la kisiasa na limeibuka baada ya migogoro ya kisiasa. Katika siasa, rushwa haiwezi kutambulika au kuonekana imetendeka isipokuwa kama wahusika wamekamatwa na vidhibiti halisi, tena lazima kuwe na mmoja aliyewekwa kama mtego. Siasa si kama maeneo mengine ya utendaji kama maofisini, polisi na mahakama ambapo kuna haki inatolewa.

Rushwa haibainiki kama imehusika sehemu ambapo hakuna haki inatolewa. Rushwa haibainiki sehemu ambapo kila aliyepo hapo kaingia sababu ya masilahi yake. Wanaodaiwa kuhusika ni viongozi -pande zote mbili zinahusisha viongozi wa kisiasa. kumbuka hakuna raia wa kawaida kahusishwa. sasa misingi ya rushwa ina -ingredients zake, ambapo katika suala lenye muonekano huu hakuna ingredient hata moja ya rushwa. maana yake hakuna viashiria vyovyote vya rushwa katika uhalisia wa neno rushwa.

TAKUKURU iliwapasa wapokee kilicholetwa mbele yao sababu hiy ndiyo kazi yao, kukataa ingekuwa ni kukataa majukumu yao. Baada ya kupokea ni uchunguzi unaofuata ili kujihakikishia kuwa kuna harufu ya rushwa eneo hilo. kama wakiona hakuna au suala halina msingi basi hutupa makabrasha hayo jalalani, na ndivyo walivyofanya.
 
hiyo hikuwa ku -expose, vitendo vya rushwa. Zilikuwa kejeli na mbwembwe tu baada ya kuona wamekimbiwa na madiwani wao tegemeo. Ni sawa na mfa maji anavyotapatapa.
Ukitaka kujua umuhimu wa matako kalia kichwa, Vivyo hivyo ukitaka kujua umuhimu wa kichwa fikiri kwa matako kama ufanyavyo wewe..
 
hiyo hikuwa ku -expose, vitendo vya rushwa. Zilikuwa kejeli na mbwembwe tu baada ya kuona wamekimbiwa na madiwani wao tegemeo. Ni sawa na mfa maji anavyotapatapa.
Siasa itakuuwa wewe! Hata nafasi ya kutumia akili yako pua umenyang'anywa.
 
Back
Top Bottom