Umewahi Kutumia Proramu Hizi ?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umewahi Kutumia Proramu Hizi ??

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Yona F. Maro, May 12, 2008.

 1. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #1
  May 12, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Mimi huwa napenda kutumia programu nyingi nyingi katika utendaji wangu wa kazi wa kila siku , nimeonelea niandika kidogo kuhusu programu hizo ambazo huwa nazitumia katika shuguli hizo ingawa zingine zinauzwa na nyingine ni bure tu katika mtandao , naamini maelezo yangu yatakuwa na mchango Fulani kwa wengine pia ambao hawajawahi kutumia programu hizo au wanaozitafuta .

  Kuna wakati computer yako inakuwa iko slow tu , uneweza kufikiri labda ni ram lakini unaangalia ram yako inakuwa y akutosha , unafikiri labda ni spyware unakuta umesharun antispyware zaidi ya 3 , labda ni virus unarun antivirus za aina mbali mbali tatizo litakuwa lile lile je ufanyeje ?

  Wakati mwingine programu zinakuwa zimejazana katika computer yako na nyingi zinakuwa hazifanyi kazi ipasavyo kama wewe unavyotaka , ukijaribu kuzitoa hazitoki mfano mzuri ni Symantec cooperate au aina zingine za Norton antivirus ingawa kuna programu maalumu ya kutoa hizo bidhaa za Norton lakini mpaka uwe unajua kama hujui ufanyeje ?

  ANGALIA ATTACHMENT
   
 2. sultanseifu

  sultanseifu JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2017
  Joined: Aug 22, 2017
  Messages: 363
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 60
  Poa
   
Loading...