Galaxy tab 10.1 ime-stuck: Msaada

Infopaedia

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Messages
1,074
Points
2,000

Infopaedia

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2011
1,074 2,000
Nina Samsung galaxy tab 10.1, inawaka lakini ikifika kwenye logo 'SAMSUNG' ina-stuck hapo hapo. Nimejaribu ku-flash custom rom kwa kutumia Odin3 lakini ina-fail. Pia haiwezi hata kwenda kwenye hard reset. The only option unapata ni when unabonyeza power button + volume down kwa sekunde kama tano. Then inaenda kwenye option ya ku-download custom rom, lakini ndiyo hivyo ina-fail kama nilivyoeleza hapo juu. Naomba msaada wakuu. Kihistoria, nilishawahi kui-root. Nikaitumia kwa muda tu. Baadae nikaona inavamiwa sana na apps za ajabu ajabu zinaji-install easly. Nikaamuwa ku-flash custom rom, nikaweka nyingine. Imepiga mzigo for 2 years fresh tu. Lakini sasa ndiyo hivyo wakuu. Naomba msaada wenu wakuu. Asanteni.
 

Forum statistics

Threads 1,365,454
Members 521,229
Posts 33,346,653
Top