fisadimpya
Senior Member
- Oct 27, 2011
- 191
- 103
Nimeinstall window ten nadhan iyo genuine ina expire in Feb naomba mwenye key nikijaribu kuapdate online haikubal
Asanteee mkuudownload software inaitwa kmspico intall ...... kwisha habar
wala hutohitaji...hiyo ina activate windows moja kwa mojaAsanteee mkuu
Manake sitohitaj key?
Shukran mkuuwala hutohitaji...hiyo ina activate windows moja kwa moja
Samahan nieleweshe nam naona inanambia niapdate
NF32V-Q9P3W-7DR7Y-JGWRW-JFCK8
ingia hapa
key zip but haziwezi activate labda utumie window activator hii utapata kwenye site ya tparser kama torrent file.
maana hizo key ukiweka zinafungua window na inakuruhusu kuinstall window kwenye computer yako ila ukiangalia system property hakuna ulicho activate labda kwa sababu unaomba key hizo Hapo umepewa
Download Microsoft toolkit for windows 10 ufanye activation, haina haja ya key hiyoNimeinstall window ten nadhan iyo genuine ina expire in Feb naomba mwenye key nikijaribu kuapdate online haikubal