Wakuu msaada wenu tafadhali

Wakuu msaada wenu tafadhali

Wgr30

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2017
Posts
1,770
Reaction score
2,388
salaam wataalam,

sijui nitumie Kiswahili gani ili niweze kueleweka vizuri na kupata msaada wa haraka, jana niliiflash/kuirudisha upya PC yangu kwa sababu ilikuwa inagoma sana hata kwa vitu vya kawaida, nikashauriwa nifanye hivyo,

sasa leo najaribu kuprint document fulani hii printer haisomi kabisa wala kuonekana printer yangu ni HPLLaserJetP1102.

Inatumia windows 10, nifanyeje?

karibu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom