Msaada TV yangu inaonyesha picha screen ikiwa nyeusi

Msaada TV yangu inaonyesha picha screen ikiwa nyeusi

kidunula1

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2016
Posts
6,305
Reaction score
6,351
Habari ndugu, nilikuwa natazama TV nyumbani Mara umeme ukakatika, nikasahau kuzima kwenye soketi. Mara umeme ukarudi kwa nguvu,ghafla nikasikia TV ikiongea sebuleni nlipoenda ili niendelee kuangalia nikakuta TV inaongea na inaonyesha picha ila kwa mbali sana na screen ni nyeusi,nikajaribu kucheki setting ya picture na kwingineko bila mafanikio. Ninawaomba msaada juu ya hilo tatizo,laweza kuwa ni tatizo gani?
 
Nenda kwa fundi tv aiangalie tatizo aone kama inaweza kupona.
 
Nenda kwa fundi tv aiangalie tatizo aone kama inaweza kupona.
Kanambia ni tatizo LA taa zimekufa ila garama ya hzo taa tatu ni 150000,so kwa wale wajuz na hzo taa naomba wanpe experience ni kweli gharama hufikiahuko au funding kanipiga sana? Naomba kujua ili either nijilipue au nikaushe kwanza
 
Ni aina gani na size gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom