Wakuu,
Nimekuwa nikipata changamoto ya kutambua code ya namba ya simu iliyokupigia au uliyopewa na mtu kwa kuangalia maana zinafanana na kila siku zinakuja mpya.
Sasa hii inakua Changamoto kama...
UI ya simu (User Interface) ni muonekano na njia mtu anavyokuwa connected na simu, ikijumuisha unachokiona kwenye screen yako, menus, icons, na animations. Mfano ni One UI ya Samsung, HyperOS ya...
Hawa jamaa sijui uwa wanafikiria nini katika muundo wa simu zao .
Simu ina camera moja nyuma ila designer anaweka marings matatu ili waonekane kama iPhone macho matatu, na wateja wasiojua...
As of March 25, 2026, Claude AI is experiencing degraded performance across its services, including
claude.ai, the API, and console, following recent reports of elevated errors and potential...
Ili kupata uzoefu wa simu za kiwango cha juu (flagship) nchini Tanzania kwa mwaka 2026, Samsung Galaxy S26 Ultra ndiyo chaguo namba moja. Inapatikana madukani kwa makadirio ya TZS 3,500,000 (GB...
Wakati wa kuzindua iPhone 18 series itatoka na iPhone Fold. Ni iPhone ya kukunja ya kwanza kutoka Apple.
Base model ya 256 GB itakua $1,999 wakati ya juu ya 1TB itakua $2,400.
Hapo bado ushuru...
Nimeamua kuandika makala hii bbaada ya kuona watu wengi Wanaibiwa , Kupigwa bei kali na kuuziwa simu feki au Bandia. Mpaka wengine wanaogopa kabisa kununua simu used kutoka nje…
1. Hakikisha Iko...
SIM Swapping Wizi wa Namba ya Simu Bila Kuibiwa Simu Na Jinsi ya Kujilinda
Katika dunia ya sasa ya kidigitali, namba yako ya simu imekuwa “kitambulisho” chako mtandaoni. Inatumika kuthibitisha...
Kama unatumia vocha kuongeza salio, basi hii app inakufaa sana! Inaitwa Voucher Master inapatikana Play Store – unatumia kamera ya simu tu kuskani vocha na salio linaingia moja kwa moja bila...
Kwa wale wote wenye kukutana na kesi za ku edit PDF.. Kuweka Sawa PDF au Document za zamani zionekane vizur na kubadirisha baadhi ya picha na style basi hapa ndo Penyewe, Editing Zote Muulize PDF...
Moja kwa moja .
Nina mpango wa kuvunja kibubu ninunue simu Kali wakuu maana nimechoka kutumia kifaa Cha mawasiliano .
Mwaka huu In Shaa Allaah mambo yakiwa mazuri nataka nitenge bajeti ya...
Habari wakuu,
Wiki chache nyuma nilikuja jukwaani kuomba msaada wa jinsi ku block users amabo wanapata access ya password,
Baada ya kuitumia Router ya Airtel kwa kipindi kirefu sasa imeanza...
Tanzania kila inayo itwa leo watu hutapeliwa ,wengi hupotezea kwa sababu ya udogo wa pesa wanazo tapeliwa ….
Fikiria kama ukitapeliwa laki 3,4 au MILLIONI.
Ni pesa nyingi eeh…. Kama haupo makini...
Nahitaji mtu wa kinifanyia Config ya DOCKER, PORTAINER, CONTAINERS kama vile Pi hole, Nextcloud, Tailscale-vpn, Paperless ngx, Media automation kama vile SONAAR kwenye NAS SERVER.
0715 240140