Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nahitaji kuifanya Tv yangu iwe kama youtube au Netflix lakini niweze kustream video kutoka kwenye laptop yangu bila bando. Laptop nitakuwa naiacha chumbani, niweze kuchagua video moja kwa moja...
1 Reactions
37 Replies
2K Views
Kuna subwoofer nyingi zime zagaa sasa nashindwa ni ipi ninunue maana sija wahi tumia sijajua ipi ni nzuri maana nisije nikanunua leo kesho imekufa Naomba mnisaidie mnao fahamu kuhusu hivi vitu...
2 Reactions
150 Replies
44K Views
1. Nimepata hard disk 6 TB kwa shilingi 150,000 used (used ila disc health safi ) 2. Nimenunua cpu used kwa elfu 50 ikiwa na hard disk ya GB 80 (Hp Optiplex SFF) Kwanini ninunua cpu wakati...
9 Reactions
26 Replies
1K Views
Huwezi kununua simu inayozidi sh ngapi? Tushirikishe…
4 Reactions
25 Replies
914 Views
💡 Nchi ya China imegundua chanzo Cha nishati mpya isiyo na kikomo inaitwa thorium , imeripotiwa kugundua hifadhi hiyo kubwa ya Thorium katika eneo la uchimbaji wa madini LA bayan Obo huko...
12 Reactions
44 Replies
2K Views
JuZ kat sikuwa na habar kama hizi simu za iphone matoleo ya nyuma wanazizima zisifanye kaz tena.nikiwa sina hili wala lile ghafla simu nikaona haifanyi kaz imejizima...nikajaribu kuiwasha...
2 Reactions
3 Replies
414 Views
Nimekuwa nikifuatilia ubora wa TV za mkulima ila nimebaini TCL na Blackstone naona kama zipo juu, sasa hapa nimeshindwa kufanya uamzi nichukue ipi? Naomba ushauri wenu, nichukue ipi na bei kwa...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Tulizungumzia hii soundbar kwenye mada: FLAGSHIP SOUNDBARS. Nakamichi wanadai ni kufuatia maombi kutoka kwa watumiaji wa awali wa hii sound system ambapo 41% waliomba subwoofer ziongezeke uwezo...
4 Reactions
9 Replies
823 Views
Kwa aliyewahi kutumia au Mwenye Ufahamu nazo nataka kununua ya hisense btu 12000 Kwa chumba kimoja Jf ina watu wengi wanaojua nisanueni changamoto zake na uzuri wake pia.
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Geofrey Hinton anajulikana kama "GODFATHER OF AI" anatakumbusha swali la msingi, je tuko tayari kisawa sawa kwa ajili ya AI? Sijui kama Aliacha kazi kama protest au hofu ya ukuu wa AI ambao...
10 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari Members. Inawezekana Kutengeza Posters Logo Ku edit video na photos Kwa Kutumia A.I Akili Mnemba??
1 Reactions
4 Replies
413 Views
Habari wana Ndugu, Nilishawahi Kupotea Dar Nina Pesa Mkononi,Naona Daladala Zinapita Lakini Sijui Nipande Ipi Ili Nifike Ninapokusudia Ghafla Paap! Naona Mdada Kasimama Mimi:Mambo Samahani Dada...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Mwaka 2060 watu watakua na uwezo wa kusafiri toka sehemu moja kwenda nyingine kwa kufikiria tu!! Je utajisikiaje ikifika wakati unatoka Dar Kwenda Dodoma kwa kufumba na kufumbua macho tu kama...
1 Reactions
7 Replies
398 Views
Mfano domain iwe xyz.tz na xyz.co.tz .tz gharama ni 100,000 kwa mwaka na .co.tz ni 25,000! Je kuna faida gani ya kutumia .tz domain badala ya .co.tz? Nataka sajili domain naomba mawazo..
5 Reactions
14 Replies
929 Views
Mafundi mnisaidie flash file la SQ1000, maana yake ya Google ukigonga simu haiwaki. Ambaye alisave scallter file kwenye miralce crack anitumie pls Inakuwa na mb 4
0 Reactions
0 Replies
304 Views
Hawa ni Isaac Newton; the Father of Phsics na Nicolas Tesla ISAAC NEWTON https://en.wikipedia.org/wiki/Isaac_Newton NICOLAS TESLA https://en.wikipedia.org/wiki/Nikola_Tesla
3 Reactions
62 Replies
2K Views
Infinix Imetisha imeleta simu unaweza kuichaji kupitia Mwanga wa Jua 💭 Ebu fikiria unatembea kwa miguu jua Kali na simu yako inakaribia kuzima, au huko kwenye gari mwanga wa Jua unakupiga tu...
9 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari wakuu. Ningependa kushare nanyi ujuzi wangu mdogo katika kutengeneza beat ya trap. Kwa watakaohitaji FLP yake niunge mkono kwa kusubscribe na niandikie tu katika email hii nami...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Wakuu naomba kujua hivo vitu am so confused
0 Reactions
59 Replies
27K Views
Wadau naomba mnisaidie title ya computer science iwe ya web based nilizofikiria zote instructor amezikataaa
2 Reactions
49 Replies
2K Views
Back
Top Bottom