Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Miaka ya 2009 bitcoin zilikuwa zinapatikana bure au hazina thamani yoyote. Leo bitcoin moja ni zaidi ya milion 200 , kuna hii currency ambayo bado haijazinduliwa je kuna uwezekano ikaja kutisha...
5 Reactions
40 Replies
2K Views
Habari wakubwa WhatsApp ya ndugu yangu imekuw Blocked msaada tafadhali kama inavyoonesha hapa chini
0 Reactions
1 Replies
290 Views
Soma usije kulaumu mtu baadae haya maelezo ni zaidi ya kuwa na degree Watu wengi wanaotumia Canva huwa wanatumia kutengeneza posters za social media kama za Instagram, facebook, twitter n.k...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimepiga picha kwa kutumia simu yangu ya mkononi. Lakini hiyo picha imejirekodi kuwa imepigwa mwezi March 2200, Wakati nimepiga mwezi March 2025. Nimeshindwa kuelewa imekuwaje?
0 Reactions
14 Replies
700 Views
Wakuu Habari zenu? Niingie kwenye mada moja kwa moja, Naona hii ndio sababu ya kuwa na maprogrammer uchwara wamzee wa kucopy hawaanzagi kuandika code from the beginning hata uwape bei gani, wao...
13 Reactions
57 Replies
2K Views
Wakuu kifupi mimi ni music enthusiast, hivyo nazingatia sana quality ya muziki maana ndo burudani yangu kuu! Sasa ni muda mrefu nimetumia Sony zile radio za kizaman zenye cd 3, nimepata quality...
23 Reactions
222 Replies
16K Views
Confession: True story: mwaka 2024 Nimeshuhudia vijana (watu wa karibu) wakitengeneza zaidi ya 15M+ kila mmoja kwa mwaka kupitia content creation. Siwezi kuwataja (wanaona hii tweet) Leo...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Jinsi ya Kuepuka Kutapeliwa Online Katika dunia ya kidigitali, kuna fursa nyingi za kufanya biashara, kupata huduma, na hata kujifunza. Lakini pamoja na faida hizi, kuna pia hatari ya kutapeliwa...
2 Reactions
3 Replies
823 Views
Nlikua nnahitaji ninunue JTAG but kwa kua bubget yangu ndogo nlitaka nichukue bila ufs socket lakini nna swali kwa WENYE kutumia JTAG.Hivi nikiwa na hiyo package ambayo Haina ufs socket nitaweza...
1 Reactions
3 Replies
290 Views
Wadau Leo ktk pitapita zangu nikakutana na mpango wa Marekani kufungua crypto reserve kama walivyofanya kwenye Gold reserve kule fort Knox. Lakini Kuna siku niliwahi sema siiamini USDT kwasabu ni...
3 Reactions
7 Replies
709 Views
Mgonjwa ambaye alikuwa anasubiri operation ya kupewa moyo mpya (heart transplant) aliwekewa moyo wa bandia ambao ulimsaidia kuishi siku 104 mpaka pale moyo mpya ulipopatikana na katika tukio la...
3 Reactions
0 Replies
464 Views
Japan kutuma chombo kwenda kusafisha Anga kwenye roketi zilizokufa Shirika la Anga toka Japan Astrocale inakabiliana na tishio la kuongoezeka kwa takataka Angani na kuamua kuzindua Misheni ya...
4 Reactions
11 Replies
714 Views
Heshima kwenu wakuu. Ninatafuta fundi simu (mwenye ofisi). Nataka nijifunze kutengeneza simu (smart android na viswaswadu). Malengo yangu ni kufungua ofisi ya kuuza simu na vifaa vyote vya...
2 Reactions
3 Replies
461 Views
Habari wakuu!!Wanasema kizuri kula na wenzio!! Kama wewe ni mpenz wa kustream online hizo app mbili hutakiwi kukosa kwenye list zako Onstream hii ni kwaajili ya kustream movie na series ni app...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
Nataka nichukue game console, ila siajajua ipi ni best kati ya Ps3 na ps4 in terms of game za kutosha na uimara na ubora wa console. nina bajeti ya kutosha Angalizo: Sihitaji Pc games wataalam...
4 Reactions
57 Replies
57K Views
HABARI WANDUGU NAPENDA ULIZIA MATUMIZI YA RICE COOKER YA 1.8L , IKIWA INAPIKIWA MCHANA NA USIKU YAANI INATUMIKA MARA 2 KWA SIKU , JE UMEME WA 5000 UTAFAA KWA SIKU 30 ? AU NI KUBWA SANA ...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Wakuu naomba anaeweza kueleza vizuri kuhusu theory ya relativity ya Einstein aje. Nilisoma physics Advance lakini niwe mkweli nilikariri. Nimeangali tutorials nyingi lakini bado sielewi. Mwenye...
0 Reactions
2 Replies
189 Views
Pia kama una AC, hapa panakuhusu. Twende moja kwa moja kwenye mada. Watu wengi tunamiliki majokofu au friji lakini tunauelewa mdogo juu ya utendaji wa hichi kifaa. Kimsingi, kama mtumiaji...
83 Reactions
144 Replies
31K Views
Habari za muda huu ndugu zangu? Ukweli ushamba mzigo kumbe kenya wanabei ndogo ya simu kuliko aliexpress? Juzi nilikuwa nataka simu aliexpress nilikuwa na laki 8 niliona ngoja nitafute xiamon...
2 Reactions
27 Replies
6K Views
Back
Top Bottom