Viongozi habari zenu,
Naomba kwa yeyote anaejuwa mfumo unaoweza kutumika kweny kampuni ambao unaweza kutumiwa kweny hizi departments
1.Accounting
2.Inventory
3.Sales
4.Human resource
Etc...
Najua kuna vijana wengi wana mawazo yao lakini changamoto huwa ni fedha.
Ningependa kujua ni wapi naweza kupata fursa ya kuweza kuhudhuria maonyesho ya projects zinazodeal na mambo ya computers...
Mimi ni mwanafunzi diploma in computer science. Nimeangalia google, kwa nchi nyingine php ni kama ya kizamani kidogo na wengi hawa recommend. Lakini kuna mtu kaniambia tanzania website nyingi...
Naamini hapa Tanzania kuna Teknolojia zenye uhitaji zinazoweza kuletwa na vijana wabunifu na kutengeneza mabilionea.
Unahisi ni teknolojia aina gani ikiletwa Tanzania mazingira yanaruhusu...
Chief-Mkwawa Kwanini Google stadia ilifail wakati naona ilikuwa na potential kwa sababu ulihitaji tu kuwa ni kifaa cha interneet kama tv na chrome cast, laptop basi.
Hahikuhitaji ununue game...
Habari wana jukwaa, ndani ya playstore kumekua na app (utiriri wa apps) nyingi ambazo zingine kimsingi wala hazina ufanisi au hata hazifanyi kazi kabisa.
Lakini kiuhalisia ndan ya Apple store wao...
hapo kabla kulikua na huduma ya kuhamisha bando (MB 250) kutoka namba moja kwenda namba nyingine sasa ivi naona hii huduma wamesha itoa bila hata ya taarifa.
Pia hii ilikua ni amri kutoka TCRA...
Kwenye tasnia ya music systems na vinu huwezi kukwepa Giants wa kijapani kama akina Kenwood, Sony, Pioneer na wamarekani kama Bose, JBL, Harman Kardon na wengineo.
Mimi ni music Enthusiast toka...
Dubai wamefanikiwa kuzindua kamera zenye Teknolojia ya hali ya Juu ya AI iliyoundwa ili kuweza kugundua ukiukaji wa sheria 17 za alama za barabarani, kuanzia watu ambao wako kwenye gari hawafungi...
Habari wakuu! Kwenye simu yangu nilikuwa na shida ya matangazo kila sekunde 30 tangazo, kibaya zaidi nikiwasha tu data, matangazo yanaanza kujitokeza! Hii simu nilinunua kwa mtu nahisi aliuza...
Mark Zuckbereg - Facebook, Instagram, Whatsapp
Bill Gates - Windows, Xbox, n.k.
Elon Musk - Starlink,,cybertuck, n.k.
Steve Jobs (RIP) - iPHONE
Sam Altman - Chat GPT
n.k.
Ni nini...
Wakuu swalamaa......
Nina mpango wa kuanza kutengeneza content (yaani kuwa content creator)mwishoni mwa mwaka huu 2025, yaani baada ya uchaguzi mkuu wa Tanzania.
Je;ni SIMU aina gani...
Na hii ipo zaidi kwa bongo, simu mpya nyingi zinatoka kwa kuongezewa features ambazo wabongo hawazitumii kabisa au nchi haina miundo mbinu yake. mashahidi ni nyie hata humu jamii forums jukwaa la...
Inawezekana umeweka password ya ku login Kwenye window 10 alafu ukasahau password yake Je ndo hu format window nzima ??
Hapana [emoji112] Leo nakuambia nini ufanye ikitokea kompyuta uliyonayo...
Wadau kwema
Niulize chochote kuhusu programming language
1.PHp
2 javascript
3.mysqli
Additional java.
Jquery na ajax.
Karibuni.
Updated:
Programming language ni kitu haswa? Wewe unaelewa...
For any beginners who have just started to learn how to code or for anyone who would like to start it can be a little bit daunting! There are many different programming languages to choose from...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.