Aventus
JF-Expert Member
- Mar 8, 2013
- 1,914
- 1,977
Habar Za midaa Hii wana jamvii???
Huu ni uzi maalum kwa ajili ya tecno kama heading inavojieleza. Wengi wetu humu tunatumia tecno wereva.
Basi tushirikishane kwenye uzuri, ubovu na matatizo ya hizi simu zetu pendwa.
Kwa mfano mimi natumia tecno C9. Toka nimenunua iko na mwaka, mwanzo ilikua tamu sana ila kwa sasa imekua nzito(slow), camera imepungua uwezo picha zinatoka na chenga chenga pia SMS notification haziondoki hata kama SMS nshaisoma na kui delete. Kuna kitu inaitwa screen overlay inazingua mazima.
Karibuni