Msaada wapi naeza pata TCL smart tv 32 ROKU TV

danmarc

JF-Expert Member
Feb 25, 2012
570
115
Msaada WAP kwa dar naeza pata tcl smart TV inch 32 yenye built in ROKU TV maana nimezunguka madukan lakin nyingi in model za zaman ambazo hazina hii roku service. Au tcl zenye android OS atleast
 
Roku kupata issue...wabongo wakipost wanapost TCL roku Tv ila ukfka dukan utaanza kucheka mwenyew
 
Si ndo hapo mkuu nimezunguka mpaka basi naona solution ninunue roku streaming stick tu. Sijui kwann hawawekag picha halisi za mizigo waliyonayo
 
Ndio solution hyo mkuu...funga stick yao

Bongo hii pasua kichwa sana
 
Si ndo hapo mkuu nimezunguka mpaka basi naona solution ninunue roku streaming stick tu. Sijui kwann hawawekag picha halisi za mizigo waliyonayo
Una netflix ama subscription za kulipia? Service zao za bure hazipatikani Tanzania hao roku.
 
Kama unaagizishia online subiria tarehe 18 mwezi huu. $20 roku express black friday deals.

Hata mimi naikubali sana Roku as os.
Chief hii sale itafanyika mtandao upi, ili nijipange. Maana Nilitaka kununua Mi Box 60$ lakini naona roku kwa bei hiyo itakuwa better for streaming tu
 
Amazon,

itakuwepo pia ya fire stick, bei ya kawaida ya roku express ni dola 30.
 
Amazon si wana ile bei ya bidhaa pamoja na ile ya shipping na deposit ya tax ambayo inafika kwenye 80$
20181107_180616.jpeg
 
unaweza nunua Andrpid box na kuinstall Roku apk kwenye any android box na kuinjoy Roku services sio lazima uwe na TV yenye pre installed Roku
 
Umetest mkuu? Hio app ninavyofahamu ni side app inaenda sambamba na hardware yako ya Roku.

Na point hapa ya kununua Roku ni kwamba from scratch imetengenezwa kutumika kwenye tv, kuanzia navigation, keyboard, apps etc. Wakati os nyengine kama android ni za simu.

Kutumia android kwenye tv inaudhi sana na sometime hadi vidole vinauma unless una keyboard na mouse pembeni angalau inasaidia.
 
Msaada WAP kwa dar naeza pata tcl smart TV inch 32 yenye built in ROKU TV maana nimezunguka madukan lakin nyingi in model za zaman ambazo hazina hii roku service. Au tcl zenye android OS atleast
Msaada Plz, ROKU TV inautofati gani na hii model nyingine?
 
Umetest mkuu? Hio app ninavyofahamu ni side app inaenda sambamba na hardware yako ya Roku.

Na point hapa ya kununua Roku ni kwamba from scratch imetengenezwa kutumika kwenye tv, kuanzia navigation, keyboard, apps etc. Wakati os nyengine kama android ni za simu.

Kutumia android kwenye tv inaudhi sana na sometime hadi vidole vinauma unless una keyboard na mouse pembeni angalau inasaidia.

inakua rahisi ku navigate kama una keyboard yenye mouse hapo hapo kama hii!
61DPrULG-JL._SL1141_.jpg
 
inakua rahisi ku navigate kama una keyboard yenye mouse hapo hapo kama hii!
View attachment 926342
Ndio mkuu, ila still kama haitumii android tv hata apps zitakuwa ngumu kunavigate. Maana hizi tv box za android kuna ambao ni certified wanatumia android tv mfano kama box za xiaomi na kuna ambao wanachukua tu android ya kawaida Aosp na kuweka themes ya kukudanganyia,mfano hizi box zetu za kichina kama MXQ.
 
Msaada WAP kwa dar naeza pata tcl smart TV inch 32 yenye built in ROKU TV maana nimezunguka madukan lakin nyingi in model za zaman ambazo hazina hii roku service. Au tcl zenye android OS atleast
ROKU TV ni kwa ajili ya matumizi gani hasa
Nini tofauti na smart TV zingine?
 
Back
Top Bottom