Wataalam wa compyuta, msaada jins ya kutoa bios password katika hp probook 4340

wicalumtata

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2013
Posts
329
Reaction score
113
Walijaribu njia ya cmos battery imeshindikana, njia ya kushot ile eeprom nayo imeshindikana sasa kama kuna mtaalam mungine anisaidie
 
Hizi nazo huwa ni kipengele sana, jaribu kufanya namna upate error code kisha utumie hiyo code ili upate password au ukiona imeshindwa njia zote itabidi uwasiliane na hp wenyewe kwa maana hizo PC ziko na umaalumu fulani ndio maana unaweza ukajaribu njia zote ikashindikana.
 
Walijaribu njia ya cmos battery imeshindikana, njia ya kushot ile eeprom nayo imeshindikana sasa kama kuna mtaalam mungine anisaidie
Mkuu namma ya kutoa hiyo Bios ni kui- program na kuweka nyingine ...., kwa license ya Hp wenyewe..
Karibu kutufanyie hiyo huduma ya Kui- program
Call 0755090450
 
Back
Top Bottom