Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Naomba kusaidiwa kutoa matangazo kwenye hii simu app zina matangazo sana simu ni Samsung galaxy a05
2 Reactions
1 Replies
440 Views
Good day waheshimiwa! Mimi ni designer mzuri sana, naweza chora idea yako vizuri kabisa kwa maelezo machache tu kutoka kwako. Ila leo niko hapa kwa huduma ya UI design kwa wale watu wenye mawazo...
3 Reactions
1 Replies
442 Views
Keyloggers are applications or devices that monitor the physical keystrokes of a computer user. They then either aggregate the information locally for later retrieval or send it off to a spyware...
1 Reactions
31 Replies
7K Views
Habar za sasa hivi natamani niataka ninunue simu kwa bajeti ya 600k - 650k ninunue simu gani Naomba ushauri wenu na sehemu nzuri wanapouza kwa Dsm
8 Reactions
87 Replies
6K Views
Habari, Nahitaji ushauri wa simu ya bajeti ya laki 4. Nahitaji kununua simu mbili zawadi kwa watu wawili muhimu, bajeti kila moja isizidi laki nne. Thanks in advance
13 Reactions
190 Replies
10K Views
Nimedondosha simu kioo kimepasuka, nimehamisha mafaili fasta kabla wino haujajaa Bei ya kioo ni shilingi laki 4 Tukio kama hili ni mara ya pili, mara ya kwanza niliweka simu kabatini mwezi mzima...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Programming ni nini? Programming ni kitendo cha kuandika maelezo au kuunda maelekezo au kuunda maelekezo kwa kutumia lugha flani ya kompyuta kwa ajili ya kufanikisha malengo flani Mafanikio ya...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwema? Nahitaji just a simple website ambayo haina makorokoro mengi,iwe na mwonekano mzuri kwa ajili ya wedding photographer. Niwe na upload picha na sehemu ya wateja wangu kuweka reviews...
10 Reactions
158 Replies
9K Views
Habari zenu wana jf, nimepata wazo la kuanzisha blog, nahitaji kufahamu faida na hasara kuhusu blog, kwa wale wanaojihusisha na hii kitu maana bado nahitaji kufahamu zaidi kuhusu blog. Karibu.
1 Reactions
9 Replies
602 Views
Epuka windows iliyo chakachuliwa kwenye computer yako maana inaweza kuharibu data zako namaanisha zile windows cracked na je umeshindwa jinsi ya kupata software uliza pia ntakujibu na kukuelekeza...
7 Reactions
119 Replies
7K Views
Mtandao wa vodacom 4G unapotumia intaneti inasababisha simu kupata joto kali sana lisilokuwa la kawaida Hii hali nimegundua muda nikajua tatizo ni simu yangu kumbe sio Tatizo ni mtandao wa 4G wa...
2 Reactions
3 Replies
362 Views
Kama mjuavyo hosting ya blog ni gharama hasa word press . Sasa watalamu nitajieni Hosting server za bei chee kuliko zote
2 Reactions
10 Replies
464 Views
Kuna jamaa akaunti yake ya Facebook imedukuliwa na mdukuzi amebadilisha mifumo mmiliki wa akaunti akiingia inakataa inamdai password.
0 Reactions
6 Replies
667 Views
Wakuu, Naomba msaada, kwa nini Telegram haifanyi kazi kwangu? Wenye uelewa tafadhali nisaidieni.
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Habarini. Natumia iphone 7 plus nikifungua whatsapp,Facebook,instagram,tiktok. Mpaka niwe na Data’ wakati iphone zingine hata kama hauna data zinafungua whatsapp,facebook,IG.
3 Reactions
19 Replies
971 Views
Mdau umewahi kusikia kuhusu Tv guard ama Fridge Guard? "Bidhaa za Ulinzi wa TV na Jokofu: Kuweka Vifaa Vyako Salama na Imara! Je! Umewahi kuwaza jinsi ghafla umeme unavyozimika au kuwa na spikes...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Crazy how times have changed, Back in the day, you needed all this just to record, listen to music, and communicate. Now, it's all in your smartphone! 📱 Do you think technology has made life...
11 Reactions
22 Replies
1K Views
Ni kwa madhumuni ya kiusalama, Nina mtoto nataka kumnunulia simu 😁 Nahitaji simu nayoweza kuchunguza location, kuchunguza mesej, call logs, n.k.
2 Reactions
20 Replies
971 Views
Habari ya mchana! Nimeshavurugwa na hii simu yangu. Jamani betri linaisha kama mwanga spidi yake! Yani nikiichaji 100%, nikianza kulitumia, pindi likifikisha 50% heeee spidi yake inaongezeka...
5 Reactions
41 Replies
1K Views
Naombeni ushuhuda kwa wafanyakazi wa ADSENSE waliotumia hizi platform mbili WORDPRESS & BLOGGER ipi ukitumia Ina support kupata mpunga mwingi kwenye kudisplay matangazo ya adsense tu. Habari za...
3 Reactions
59 Replies
5K Views
Back
Top Bottom