Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kati ya hizi aina mbili za simu . Google pixel na Iphone ambayo nzuri ni ipi nimechoka Samsung
7 Reactions
39 Replies
4K Views
Umeshawahi kucheza game ya God of War ? ☣️ Miaka 20 iliyopita Game pendwa ulimwenguni iliyokuwa inaongoza kuharibu Pad 😃, God of War iliweza kuachiwa. God of War ni. Game la mapigano la...
2 Reactions
8 Replies
502 Views
Hii nimejaribu Mara nyingi napotumia sim Mb huwa zinaenda kawaida tu Ila nikitumia PC( iwe laptop au desktop) Mb zinakimbia ni balaa. Sababu ya kitaalam ni ipi? Site nazotembelea ni zile zile tu...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Jinsi ya Kutengeneza Pesa na YouTube — Mwongozo wa Kuanza YouTube ni moja ya njia bora za kutengeneza pesa mtandaoni, lakini wengi hawajui pa kuanzia. Kama unatafuta njia ya kuanza kutengeneza...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu je ile hela Tshs 55000 nayotoa ili nipate ACH account. naweza kui withdraw nikitaka kutowa Salio.
1 Reactions
2 Replies
230 Views
Dunia sasa inaenda kasi, ili jamii forums izidi kuwa bora na kubadilika kuendana na teknolojia ya wakati uliopo na ujao. Inabidi waboreshe sana hii application ikiwa ni pamoja na kubuni akili...
10 Reactions
31 Replies
1K Views
Nataka kulog in ila nimesahau pasword .. wanatuma code kwenye namba ya simu .. bado wanatuma verfication code kwenye gmail iyo iyo ambayo nataka kulog in .. Mwishon nikibofya use other way...
1 Reactions
5 Replies
337 Views
Hello JF community, Hope mnaendelea poa nimekuwa napost thread humu ya vitu ninavyofanya na kwa lengo la kuelimisha vijana wengine wajifunze pia kitu ninachofanya leo nimekuja na hii thread ya...
5 Reactions
4 Replies
961 Views
Utangulizi Canva ni zana yenye nguvu sana kwa wale wanaopenda ubunifu. Ukiwa na kipaji cha kubuni, unaweza kutumia Canva kama chanzo cha mapato. Iwe unatafuta biashara ya pembeni au njia ya...
1 Reactions
0 Replies
576 Views
Wenye hili game tupeane mbinu na maujanja ya jinsi ya kutumia silaha na kuibuka mshindi wa vita katika pambano maana sasa hivi nakula sana za kichwa kwenye Ranked
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Tengeneza Zaidi ya $300 Kwa Mwezi na YouTube Channel za Hadithi Unahitaji simu na internet Tu ! Soma Mpaka Mwisho ( UZI ) YouTube ni Moja Kati Ya Jukwaa Ambalo Linalipa Content Creators (...
1 Reactions
1 Replies
682 Views
Miaka kadhaa iliyopita, developer mmoja alifanikiwa kuunda mini app ndani ya siku mbili pekee wakati wa mapumziko yake kutoka kazi kuu. Bila msaada wa team au marketing budgetalihusika moja kwa...
3 Reactions
0 Replies
331 Views
Wakuu, naomba Msaada wa namna ya ku unlock hii pocket router ya Alcatel pichani Nikiweka line tofauti na voda inaandika hivi👇🏽👇🏽
2 Reactions
72 Replies
3K Views
Naomba jibu la hilo swali langu Maana Mtu anaweza akakopa simu akaitumia ikawa used halafu akaiuza kwa mtu mwingine. Bila kumuambia simu ina deni
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau Kwa wanaoona Kanye west ni chizi basi jifikirieni mara mbili, mana Kuna ukweli kwenye analolisema. Kanye west anadai scammers wa crypto walimfuata na kumwambia apost kwenye x crypto yao...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Jumapili ya leo nataka niangalie hii muvi pamoja na watoto nimeshindwa kuipata, nakuja kwenu wataalam wa kuyajua machimbo ya links na torrents nawaomba mnisaidie
2 Reactions
11 Replies
734 Views
#mwanakidigitali hii utaipenda … WhatsApp wamefanya mabadiliko makubwa kwenye Ststus zake na sasa unaweza kuweka muziki wowote unaotaka unapo post picha kupitia WhatsApp status 📌 Ona...
6 Reactions
6 Replies
934 Views
WanaJF, Poleni na majukumu. Kama mada inavyosomeka kwenye kichwa cha habari TV ya Hisense imeacha kuonyesha picha na ninahisi kwamba kama bulb zake zimeungua. Msaada tafadhali kwa mafundi...
1 Reactions
56 Replies
4K Views
Habar wakuu, Najua wengi hamko Interested na Facebook ila kwangu mimi ndio furaha yangu ilipo. Nilikuwa nimeset "Two factor auntontification" kutokana na usalama wa account yangu dhidhi ya...
1 Reactions
7 Replies
992 Views
Msaada tafadhali mwenye kujua
0 Reactions
3 Replies
517 Views
Back
Top Bottom