Computer nyingi tunazonunua huwa zinatumia processor za intel au amd, lakini ni intel ambaye ametawala sana kushinda amd kwenye computer zetu. Leo nimeamua niandike uzi huu kuhusu hizi processor...
Katika ulimwengu wa leo wa kidigitali, njia za kutengeneza pesa zimepanuka sana — na mojawapo ya njia zinazokua kwa kasi zaidi ni kupitia Cryptocurrency. Kama umeona watu wakizungumza kuhusu...
𝗠𝗧𝗔𝗡𝗗𝗔𝗢 𝗪𝗔 𝗬𝗔𝗦 (𝗧𝗜𝗚𝗢) 𝗨𝗡𝗔𝗦𝗨𝗠𝗕𝗨𝗔
Kampuni ya Yas ambayo zamani ilikua inaitwa TIGO Leo hii imepata changamoto toka mchana huduma mbalimbali zimekwama kwa watumiaji wake.
Watumiaji wa mtandao wa...
Nilikuwa sijawahi kufanya manunuzi ya kitu mtandaoni, kwa mara ya kwanza tarehe 5/08/2024 nilifanya manunuzi ya miwani ya macho katika mtandao wa eBay, hii ni baada ya miwani yangu kupasuka...
Wakuu msaada tafadhali, nimetupia kizungu kidogo hapo ila kusudi langu ni kuactivate incoming call barring kwenye simu yangu, password zake ndio zipi?
Natanguliza shukrani.
Hili limekua tatizo kubwa sana kwa simu za kitochi 4G ukiitumia baada ya muda Fulani Kanaganda yaani ukiiwasha haiwaki inaishia hapo tu kwenye "karibu tigo".
Je, unaweza kutumia mbinu gani...
Wataalam wa tech naomba elimu yenu kuhusu maeneo hayo Apps na Websites.
Ukitaka kutengeneza apps unapaswa kupitia hatua zipi au kozi gani fupi?
Hivyo hivyo kwa website unapaswa kupitia hatua...
Flutter ni moja ya Frameworks pendwa inayotumika kwa ajili ya kutengeneza cross platform applications. Kwa kutumia code base moja utaweza kutengeneza Apps kwa ajili ya Android, IOS, Mac OS...
Wasalaam wadau. Mimi sitangazi biashara ila wadau hii simu inakaa na chaji na ipo Faster mtandaoni.
Ni simu gani nyingine ambayo unaiona ni nzuri mno tushee mawazo maana zamani nilikua najinunulia...
Jinsi ya Kujilinda Mtandaoni: Mwongozo wa Haraka kwa Watumiaji wa Kawaida
Tunaishi kwenye dunia ya kidigitali ambapo karibu kila kitu kinafanyika mtandaoni—kuwasiliana, kufanya biashara, kutuma...
Habari ya jioni wakuu.
Kuna software ya kutengeneza formula za vyakula vya mifugo niliinunua Thailand $475,hii software ili uitumie ni lazima uingize hardlock key kwenye USB port ya computer,bila...
Ndugu wana jamiii simu yangu ni ao5 Samsung ina nikera na haya matango kila app iko na matangazo nifanyajeee nikiweka DNS hii simu inakataaa internet kabisaa
Wakubwa nimecheki huko Mjini Facebook, kuna wakenya huko wanatamba na hizi Sound System za magari wanaweka majumbani mwao hii idea imekaaje, make sote tunajua mziki wa gari huwezi linganisha na...
🔒 JE, UNAJUA UNAWEZA KUONDOA TAARIFA ZAKO BINAFSI KWENYE GOOGLE NDANI YA DAKIKA 1 TU?
Watu wengi hawajui kuwa Google inatoa njia ya kujilinda dhidi ya watu wanaotafuta jina lako, namba yako ya...
China ilizindua mtandao wake wa kwanza wa 10G katika Kaunti ya Sunan, Mkoa wa Hebei, Jumapili (Aprili 20), na hivyo kuashiria maendeleo makubwa katika miundombinu ya intaneti.
Uzinduzi huu ni...
Google's crawler, when scanning a webpage for backlinks, identifies URLs within HTML anchor tags (<a> tags) that contain the href attribute. The structure of a backlink URL in HTML code typically...
Niaje wadau kwa hali ya sasa maendeleo ya tech ni makubw san kama una weza design blog au web kwa kutumia Ai ,do you think guys kaz za web designers zitakuwa hatarin?
Ni katika wakati ambao nilikuwa nawaza ni kwa namna gani nitaweza kukusanya michango ya ahadi kutoka kwa marafiki zangu walio mbali au nje ya nchi kwa njia rahisi kwa shughuli hiyo na ndipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.