Habari za muda huu wakuu wa JF!
Najua hapa JF kuna vichwa vyenye akili kali na ujuzi wa kila aina, lakini leo nimekuja na swali moja nyeti je, kuna mtu humu anayeweza kuhack WiFi?
Sio kwamba ni...
Habari Wakuu,
Nimeshawishika sana kuichukua Google pixel 8 pro mpya kutokana na features zake, na Shughuli zangu nnazozifanya naona itanifaa sana,
Nahofia kitu kimoja, mwaka jana nlinunua Google...
Website 10 Bora za Kujifunza Digital Skills Mwaka 2025
Katika dunia ya leo, kujifunza ujuzi wa kidigitali si chaguo tena; ni hitaji. Kama unataka kujiendeleza kitaaluma au kuanza safari ya...
MIPANGILIO (SETTINGS)6 HATARISHI UNAYOPASWA KUZIMA KWENYE SIMU YAKO MARA MOJA!
Simu yako inaweza kuwa inakufuatilia, inakusikiliza, na hata inakusanya taarifa zako bila wewe kujua! Ili kulinda...
Nina SMART UPS C (APC)
Hii ni kama back up ya umeme kama unatumia umeme ukakata kama ukiconnect hii desktop haizimi ni mpya kabisa
Tatizo sijajua kuiunganisha ili desktop ichukue moto. Mwenye...
Mwaka 2022 Xiaomi walizindua tablet ambayo inakwenda kwa jina rahisi tu "Redmi Pad" ... yaani Xiaomi Redmi Pad. Ambayo bei yake ni kama shilingi laki nne hivi za kitanzania.
Tablet hii inakioo cha...
Kama Title ya thread inavyosema. Hii ni simple tutorial ya kuonesha jinsi gani utaweza kutumia modes mbali mbali katika game yako ya ETS 2.
Sometimes inafika stage kwenye hili game unakua kama...
Natumia simu flan Samsung sasa bana nina tabia ya ku install app mbalimbali. Kurekodi sauti, nk
Sasa kuna app moja sijui ni ya Samsung ama nimeiwekaa bana nika ipa permit iwe on..
Simu imenitesa...
Naona kama kwa sasa limeingia wimbi la kutangaza na kuuza Rooters za WIFI kwa makampuni ya simu nchini.
Kila mmoja anavutia kwake kwa vifurushi vya Mbps 10, 20 na 30 ambavyo ni kwa 4G na 5G...
Samahani wadao, naomba kuuliza
Nilinunua mifi ya Airtel, sasa kuna kazi nataka kuitumia haiitaji data sana, ile lain iliopo ndani nikaitoa nikaunga bundle la kawaidia GB 1 ila ikakataa kuzitumia...
Issue ya virus kwenye windows inaweza sababisha ukapoteza document muhimu Sana hasa unapokuwa umezihifahi kwenye flash disk yako halafu ukaenda kuprint kwenye hizi stationeries ambazo wengi wao...
Blog yangu ina miaka miwili lakini hamna lolote;
Hamna hela
Hamna viewer
Hamna comment
Hamna faida yeyote
Wakuu niliingia kwa kukurupuka kwa kuwasikiliza Motivation speaker.
Naambulia kulipia...
Katika dunia ambako wanadamu na mashine waliishi pamoja, mawasiliano yalikuwa changamoto. Watu walizungumza lugha nyingi, huku kompyuta zikielewa tu namba. Hali hii ilileta mgawanyiko mkubwa, na...
#Mwanakidigitali utajisikiaje umetoa pesa yako kununua simu kisha ukauziwa simu yenye matatizo kibao.
Moja kati ya hofu ya Wateja wengi kutoka Tanzania wanapotaka kununua simu / Laptop used...
Kama kawaida hope mko poa
Mimi napenda sana programming na nina baadhi ya projects nimesha zi develop
Za desktop, mobile, na web based systems.
Nimesoma chuo ila nilikua based on...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.