Nina iphone 6 nliagiza from dubai imekua locked na network ya verizon kwakua nliagiza simu mbili natumi nyingine hii naiuza utaenda kurekebsha mwnyewe maana ni common problem ndio maana naiuza hyo...
Habari wana JF Kama wewe ni mfuatiliaji wa maswala haya ya teknolojia najua utakuwa unajua kuwa leo kampuni ya Huawei imezindua simu mpya ya Huawei P30 na P30 Pro. Lakni moja kati ya simu bora...
Salaam wakuu! [emoji120]
Ni kweli kwamba simu za OPPO na LENOVO zinasumbua mtandao hapa Tanzania hata kama ni UNLOCKED?
Nikiwa kwenye mchakato wa kuzihama Tecno, pendeleo langu ni OPPO au LENOVO...
One of my Excel is protected by a password, which prevents me from opening. I can still remember the password is pure number (less than 6 digits). Is brute-force the right way to recover the...
Naomba niwarudishe shule kidogo. Kwanini tunatumia copper Road kuunganisha waya wa Earth kwenye nyumba zetu?
The resistance of an electrical Conductor depends on 4 factors, Length, Cross...
hbr wakuu
kama kichwa kilivo eleza hapo juu cm yang n itel t1507 nikiingia play store inasema game haliendan na vision ya cm yang ila nikitumia search engine kudownload lina install then linakata...
Huyu bwege hilo file aliloweka ni ransomware ambayo imejificha nyuma ya IDM ukiinstall tu imekula kwako documents zako, miziki, picha zote zitakuwa encrypted na utaanza ona ujumbe baada ya muda...
Tofaur kubwa ya wazungu na jamii nyingine ni uwezo wa kutoweka akili zao katika comfort zone, lakin changamoto kubwa inayotukabili sis jamii nyingine ni ile hali ya kuiweka akili zetu katika...
Enyi wadau wa Tekinolojia naomba mnisaidie namna ya kuweka link, hapa nimefungua website ya Kanisa na shida yangu ni kwamba kuna Fomu za wakuu wa idara ndani ya Kanisa ambazo nahitaji kuziweka...
Tanzania ni nchi iliyobarikiwa na imejaa watu wenye vipaji wengi vijijini na mjini. Ukienda silicon Valley marekani utakutana na moja ya makampuni yanayolipa vzr duniani Google. Asilimia 14 ya...
Habar wanajf natumia PC aina ya dell ila inanikera kila nikicopy file kutoka kwa mtu niki paste pale ina-paste fresh lakini lile file nikija kulifungua unakuta baazi ya vitu havipo au inakuandia...
Blockchain theoritcal ni ngumu sana Kwa hackers kuiba data, lakin baada ya blockchain kuja mainstream kama kawaida hachers wanajiibia data
Tatizo kubwa LA blockchain ni kuwepo Kwa bugs mfano...