Bugs wamepunguza uzur wote wa blockchain

Artifact Collector

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
6,620
Reaction score
10,261
Blockchain theoritcal ni ngumu sana Kwa hackers kuiba data, lakin baada ya blockchain kuja mainstream kama kawaida hachers wanajiibia data

Tatizo kubwa LA blockchain ni kuwepo Kwa bugs mfano ethereum smart contract INA bugs wengi na inawapa hackers mwanya wa kuiba data kirahisi katika hii decentralized database.

Endapo hili tatizo LA bugs halitaondolewa kwenye blockchain, ule uzur wa blockchain tulioambiwa utaendelea kubaki kinadharia na sio kivitendo
 
Duuuuh hebu ngonja software devs waje. Ila bora ungesema ni bugs zipi hizo coz bugs huwa zipo kwenye softwares nyng tu, hata software kubwa kama hizo windows OS nazo zina aina fln ya bugs, ungetujulisha labda ni bugs zipi hizo za blockchain au weka source ya hio habari

Kuna huyu member Graph nliona kwenye thread fln hv amesema ana program inayorun kwenye etherium, labda anaweza kuwa na ufafanuzi khs hili
 
Ethereum ni platform inayotumika kudevelop smart contracts apps hata wewe unaweza itumia kama unajua kudevelop blockchain apps
 
Blockchain theoritcal ni ngumu sana Kwa hackers kuiba data, lakin baada ya blockchain kuja mainstream kama kawaida hachers wanajiibia data

Tatizo kubwa LA blockchain ni kuwepo Kwa bugs mfano ethereum smart contract INA bugs wengi na inawapa hackers mwanya wa kuiba data kirahisi katika hii decentralized database.

Endapo hili tatizo LA bugs halitaondolewa kwenye blockchain, ule uzur wa blockchain tulioambiwa utaendelea kubaki kinadharia na sio kivitendo

Labda hujaelewa blockchain ilivyo.
Kwanza karibia software duniani zote zina bugs, open source mara nyingi zina bugs chache kwa kua zinapitia reviews kibao na watu wengi kuhakikisha zina-run perfectly.

Turudi kwenye blockchain, ethereum smart contracts kua na bugs sio tatizo la ethereum, ni tatizo la developers walioandika hizo smart contracts kutokua makini, unapokua unadeal na finance kabla ya kupublish chochote kawaida inatakiwa uwe na auditors wanakagua your code, unaitest mara kibao kwenye testnet kabla ya kupublish kwenye mainnet. Developer yeyote ambaye hafanyi hili ni uzembe wake na most of the times dapp yake haito-take off anaishia kutokupata users.

Critical bugs zingekuwepo kwenye blockchain software yenyewe basi hapo ndo ingekua ishu kubwa na nadhani hacker angepata mwanya wa kuexploit basi ingejulikana mapema sana na watu wote wenye node wangekaa kubaliana wafix bug, wareverse transactions hadi block number flani then network iendelee kama kawaida.

Hadi leo hamna critical bug ambayo ilipelekea watu kupoteza hela kwenye mainnet, nyingi zinazotokea ni dapp developers wanatengeneza smart contract vibaya wanaishia wao wenyewe kupoteza hela.

Unavyosema mwanya wa hacker kuiba data kwenye decentralized database unakosea, hakuna kitu kama hicho, database tayari ni decentralized meaning ni public data, hacker haitaji kuhack wakati data kila mtu anayetaka kuzipata ana uwezo wa kuzipata, hazijafichwa. Labda kama unaongelea mtu kuiba private key ya mwingine alafu anahamisha pesa yote kwenda kwenye account yake, hii sio bug, hili ni tatizo la mtu mwenyewe kawa hacked sio the blockchain itself. Usipolinda computer yako au ukatumia software kutoka kwa watu usiowajua ukawapa private key zako ni uzembe wako mwenyewe. Hua nasema sana mtu asiingie kwenye kitu ambacho hajafanya research na kukijua vizuri, never risk what you are afraid of losing.

Blockchain ni kitu ambacho ni unstoppable, ni bonge la revolution, inarevolutionalize hasa the financial industry, na soon inakuja kwenye vitu kama real estate, securities, medical data, identification, supply chain. itarevolutionalize hizi industry mtu wa juu juu hutojua ila tunaohusika moja kwa moja tunajua jinsi hii technology ilivyo powerful.

Miaka inayokuja huko mbele utaown kila kitu chako wewe mwenyewe, ku-move pesa across borders itakua ni kugusa tu, sasa hivi kutuma hela nje ungejua ilivyo process ngumu na makato yalivyo makubwa, jaribu kumove bilioni uone paper work utakazoambiwa ujaze, hela utakayokatwa ni mamilioni, na itachukua wiki kadhaa kufika. Kupitia blockchain kumove hata trillion inaweza kukucost shilingi 10, na ikachukua sekunde moja. Utakua unasafiri toka Tanzania unaenda nchi yoyote ile hutembei na kitu chochote, hela yako ipo kwenye chain secured wewe pekee ndiye mwenye uwezo wa kuitumia, unaweza hata tunza private key kwenye microchip ikaingizwa kwenye kidole.

Medical data utakua na uwezo wa kwenda hospitalini hakuna haja ya dokta kukuuliza matatizo yako ya nyuma, unagusa tu computer yake unampa ruhusa anapata medical history yako yote, inamrahisishia kufanya diagnosis, vitu kama vyeti vya shule vikiwa on chain utaenda chuoni ukawapa public key wakaweza ku-unlock kuona kweli uligraduate with honors sio leo hii watu wanaforge vyeti na hakuna mtu wa kutrack.

Duniani zaidi ya 50% ya watu hawana identity yoyote ile, nenda vijijini hawana birth certificate wala chochote, ukimkamata mtu ukamwambia sio mtanzania hana cha kujitetea, blockchain inaweza solve matatizo yote haya, kila mtu akawa na identification ikawa on chain na secured. Bado mambo ya passport na visa hatuhitaji karatasi, utakua unaruka dubai hujabeba chochote, ukifika unatap tu kidole wanajua we ni kweli umetoka Tz, visa unayo, ruhusa ya kukaa kwao unayo na muda gani, kila kitu kipo on chain na kimekua verified. Dunia inabadilika, tech inakua fasta ni watu tu mpo slow ku-catch up.

Uses za blockchain technology ni nyingi zaidi ya unavyofikiria, sio cryptocurrency peke yake, hiyo ni part moja ya a very big picture. Wengine tupo kwenye hii field miaka tunaona inavyobadilisha mambo, the good stuff are yet to come.
 
Labda hujaelewa blockchain ilivyo.
Kwanza karibia software duniani zote zina bugs, open source mara nyingi zina bugs chache kwa kua zinapitia reviews kibao na watu wengi kuhakikisha zina-run perfectly.

Turudi kwenye blog chain, ethereum smart contracts kua na bugs sio tatizo la ethereum, ni tatizo la developers walioandika hizo smart contracts kutokua makini, unapokua unadeal na finance kabla ya kupublish chochote kawaida inatakiwa uwe na auditors wanakagua your code, unaitest mara kibao kwenye testnet kabla ya kupublish kwenye mainnet. Developer yeyote ambaye hafanyi hili ni uzembe wake na most of the times dapp yake haito-take off anaishia kutokupata users.

Critical bugs zingekuwepo kwenye blockchain software yenyewe basi hapo ndo ingekua ishu kubwa na nadhani hacker angepata mwanya wa kuexploit basi ingejulikana mapema sana na watu wote wenye node wangekaa kubaliana wafix bug, wareverse transactions hadi block number flani then network iendelee kama kawaida.

Hadi leo hamna critical bug ambayo ilipelekea watu kupoteza hela kwenye mainnet, nyingi zinazotokea ni dapp developers wanatengeneza smart contract vibaya wanaishia wao wenyewe kupoteza hela.

Unavyosema mwanya wa hacker kuiba data kwenye decentralized database unakosea, hakuna kitu kama hicho, database tayari ni decentralized meaning ni public data, hacker haitaji kuhack wakati data kila mtu anayetaka kuzipata ana uwezo wa kuzipata, hazijafichwa. Labda kama unaongelea mtu kuiba private key ya mwingine alafu anahamisha pesa yote kwenda kwenye account yake, hii sio bug, hili ni tatizo la mtu mwenyewe kawa hacked sio the blockchain itself. Usipolinda computer yako au ukatumia software kutoka kwa watu usiowajua ukawapa private key zako ni uzembe wako mwenyewe. Hua nasema sana mtu asiingie kwenye kitu ambacho hajafanya research na kukijua vizuri, never risk what you are afraid of losing.

Blockchain ni kitu ambacho ni unstoppable, ni bonge la revolution, inarevolutionalize hasa the financial industry, na soon inakuja kwenye vitu kama real estate, securities, medical data, identification, supply chain. itarevolutionalize hizi industry mtu wa juu juu hutojua ila tunaohusika moja kwa moja tunajua jinsi hii technology ilivyo powerful.

Miaka inayokuja huko mbele utaown kila kitu chako wewe mwenyewe, ku-move pesa across borders itakua ni kugusa tu, sasa hivi kutuma hela nje ungejua ilivyo process ngumu na makato yalivyo makubwa, jaribu kumove bilioni uone paper work utakazoambiwa ujaze, hela utakayokatwa ni mamilioni, na itachukua wiki kadhaa kufika. Kupitia blockchain kumove hata trillion inaweza kukucost shilingi 10, na ikachukua sekunde moja. Utakua unasafiri toka Tanzania unaenda nchi yoyote ile hutembei na kitu chochote, hela yapo ipo kwenye chain secured wewe pekee ndiye mwenye uwezo wa kuitumia, unaweza hata tunza private key kwenye microchip ikaingizwa kwenye kidole.

100%
 
Point yangu hizo loophole (bugs) so far zimeiondolea credibility blockchain tofaut na kwenye theory ya blockchain kabla haijaingia mainstream.

Labda hiz kampuni za ku-auditor blockchain application zitasaidia kupunguza tatizo. Ntakuletea uthibitisho

Mimi nimeelezea smart contract tu najua ziko uses nyingi kama
Digital identity
Money transfer and payment
Data monetization

Hongera sana inaonekana unaijua blockchain technology
 
Credibility haijaondoka, watu wanazidi kuingia kwenye hii space kila siku, sioni sababu ya kusema credibility imeshuka.
 
Point yangu hizo loophole (bugs) so far zimeiondolea credibility blockchain tofaut na kwenye theory ya blockchain kabla haijaingia mainstream,
Labda hiz kampuni za ku-auditor blockchain application zitasaidia kupunguza tatizo. Ntakuletea uthibitisho

Hongera sana inaonekana unaijua blockchain technology
Credibility haijaondoka, watu wanazidi kuingia kwenye hii space kila siku, sioni sababu ya kusema credibility imeshuka.
Nilikua namaanisha credibility imepungua na sio kuondoka
 
Back
Top Bottom