Msaada juu ya PC yangu

Msaada juu ya PC yangu

omary khamis

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2016
Posts
402
Reaction score
77
Habar wanajf natumia PC aina ya dell ila inanikera kila nikicopy file kutoka kwa mtu niki paste pale ina-paste fresh lakini lile file nikija kulifungua unakuta baazi ya vitu havipo au inakuandia can not run to your PC inakeera sana yan kila file lazima iniandikie ivo sasa sijui PC ina virus au shida nini wakuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
window ipi unatumia.

Mfano wa file zipi zinafanya hivyo? Media file au software? Kama ni software je, ni crack software?
 
Back
Top Bottom