kuwa makini na file la kwenye thread hii "NETFLIX FOR PC RELEASED 2018"

kwa-muda

JF-Expert Member
Sep 5, 2018
1,163
2,223
Huyu bwege hilo file aliloweka ni ransomware ambayo imejificha nyuma ya IDM ukiinstall tu imekula kwako documents zako, miziki, picha zote zitakuwa encrypted na utaanza ona ujumbe baada ya muda akijisifu na kukwambia eti umlipe dola 3000 jamaa ni bwege kweli kuweni makini usi download hilo file.
Invisible undoeni hiyo thread ina haribu pc za watu
 
Daah huyo jamaa ni hatari bas... anatumia njia gani kumwambia victim alipe hyo amount?
Baada ya muda inatokea window ikiwa na picha ya hacker yani kama illustration ya mtu akiwa amejificha uso then inakuwa maneno yanatokea kama ana type akichanganya kiswahili na kingereza akitushia eti ukizima pc anafuta mafile hamsini sijui umlipe anakupa 1 hr inaanza count down. kafanikiwa encrypt baadhi ya mafile yangu sema nimemuwahi nikazima pc nikaiwashia kwenye safe mode nikakuta katengneza administator account ambayo ndo ina admin preferences na huwezi kuitoa. nlicho fanya nikatengeneza nyingine nayo nikaipa uadimin preference so zikawepo mbili yake na yangu halafu yake nikaipga password ili huyo ransomware wake asiwe na uwezo wa kuitumia ndo nimeweza tumia pc yangu
 
Daah mkuu kumbe kuna hatari sana ya kuibiwa details zetu
. Asante kwa taarifaMkuu

Asante kwa taarifa mkuu
nakushauri tu format pc yako yote maana imeshakuwa compromised
 
Jamaa ni bwege sana maana hakuna mbongo anayeweza kumlipa eti kisa data na yeye analijua hilo sisi wabongo data siyo muhimu sana kwetu najua wengi watakuja toa ushuhuda si muda.
Mimi nilivyoanza install file nikaona mbona hii ni idm nikasitisha kwanza nikaenda litazama tena nikawa naona jina la file ni netflix ila chin kuna Internet downloader manager ujinga nikaamua install ikaja idm nikahs labda jamaa kamix file nikai unstall nikaendelea na mambo yangu niko humu jf after kama dakika 10 ndo hiyo windo ikatokea sikusubiri amalize vitisho vyake hapo hapo nilikuwa nimeshajua nini kinaendelea maana mimi situmiagi antivirus kwenye pc hata siku moja mm ndo antivirus nikazma
 
Asante kwa taarifa mkuu
nakushauri tu format pc yako yote maana imeshakuwa compromised
Nitaiformat baadae kwa mchezo nlimfanyia hawez kuwa na access na pc yangu maana alivyotahaira ile account anayotengeneza haina password hivyo ukiipiga password umempiga pin mdudu wake hawezi fanya chochote kila atakachojaribu kitahitaji admin password ambayo hana
 
mkuu ukipiga password bado hujaondoa tatizo maana hiyo program yake inarun in background ,
kwa hiyo kama pc umeikonect kwenye internet anaweza transmit data zako.kwa kifupi tu fanya full scan,halafu backupy mafile yako muhimu,then wipe everything.
 
Mkuu nitaformat pc baadae maana ashaniharibia mood, ila kabla ya kurudi hewani nimeanza kwa kumonitor activities zote zinazo run kwenye pc yangu, maana nimeondoa kwanza progs zote nilizokuwa nimeinstall na kufuta my previous user account jamaa mshenzi sana wajua kinachonisikitisha ni kwamba ni heri angekuwa anapata ela kweli najua kabisa hakuna mtanzania wa kumpa ela. Ila kwa sasa count down zake zimekwisha na hivyo vitsho vyake havitokei tena
 
Kama umefungiwa PC yako ukisha mdisable kupitia safe mode na kumfunga kwenye task manager processes anaonekana kama firefox trace directory yake then end process kisha mfute tumia safe mode kama watumia windows 7, then ukmaliza weka https://download.bleepingcomputer.com/demonslay335/JigSawDecrypter.zip
hii chagua the whole hdd atascan na ku decrypt files zakom zote
safi sana mkuu,
huyu jamaa ni mpumbavu
ngoja ni launch my virtual box yangu niifanyie huyo virus wake reverse engineering
it time to hunt the hunter
 
Heeeee huyu jamaaa nampata kanifunza sana ethical hacking sasa cjui kwann kafanya iki kitendo. Maana nvyomjua apend ideas zake zitumike kuumiza watu sasa cjui leo imekuaje
 
Nitaiformat baadae kwa mchezo nlimfanyia hawez kuwa na access na pc yangu maana alivyotahaira ile account anayotengeneza haina password hivyo ukiipiga password umempiga pin mdudu wake hawezi fanya chochote kila atakachojaribu kitahitaji admin password ambayo hana
Mkuu uoni ndio unampa maarifa aweke password ili afanikishe upuuzi wake?
 
Heeeee huyu jamaaa nampata kanifunza sana ethical hacking sasa cjui kwann kafanya iki kitendo. Maana nvyomjua apend ideas zake zitumike kuumiza watu sasa cjui leo imekuaje
naona unajitekenya na kucheka mwenyewe,
umekuja tena na id yako mpya huku,kwa kifupi wewe ni mjinga na mpuuzi
eti idea zake my foot,kucopy na kupaste Ndio anachojua
 
Cjakusoma mzazi
unataka nini? haitaji hata forensics analysis kukutambua
new member with 1 post unakuja kusema unamjua new member with 3 post ambaye ni mwalimu wako .
huwezi hata kuhide your identity halafu unajiita hacker,
maana mpaka hapo umeshakuwa exposed...
 
Amani chali angu maana hata sikuelewi unachoongea kusema hivo ndo kosa mzeee...Basi baridi nimekausha
 
Baada ya muda inatokea window ikiwa na picha ya hacker yani kama illustration ya mtu akiwa amejificha uso then inakuwa maneno yanatokea kama ana type akichanganya kiswahili na kingereza akitushia eti ukizima pc anafuta mafile hamsini sijui umlipe anakupa 1 hr inaanza count down. kafanikiwa encrypt baadhi ya mafile yangu sema nimemuwahi nikazima pc nikaiwashia kwenye safe mode nikakuta katengneza administator account ambayo ndo ina admin preferences na huwezi kuitoa. nlicho fanya nikatengeneza nyingine nayo nikaipa uadimin preference so zikawepo mbili yake na yangu halafu yake nikaipga password ili huyo ransomware wake asiwe na uwezo wa kuitumia ndo nimeweza tumia pc yangu
Hahahha mkuu uko vizuri...
Aisee kwanza ni nyapu gani huyo anasumbua watu
 
Back
Top Bottom