jinsi ya kucheza dream league soccer kweny cm ya itel

Bouja

Senior Member
Mar 19, 2019
173
127
hbr wakuu
kama kichwa kilivo eleza hapo juu cm yang n itel t1507 nikiingia play store inasema game haliendan na vision ya cm yang ila nikitumia search engine kudownload lina install then linakata ninapoingia kweny mech kabla mech haijaanza
msaada please
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom