Kati ya Huawei P30 Pro na Galaxy S10 Plus ipi Bora..?

Kati ya Huawei P30 Pro na Samsung 10 Plus Ipi Bora Kwako..?

  • Huawei P30 Pro

    Votes: 7 43.8%
  • Samsung Galaxy S10 Plus

    Votes: 9 56.3%

  • Total voters
    16

Tanzania Tech

JF-Expert Member
Dec 8, 2016
355
276
Habari wana JF Kama wewe ni mfuatiliaji wa maswala haya ya teknolojia najua utakuwa unajua kuwa leo kampuni ya Huawei imezindua simu mpya ya Huawei P30 na P30 Pro. Lakni moja kati ya simu bora kati ya Hizi ni P30 Pro ambayo inakuja na sifa bora sana.

Baadhi ya sifa za simu hii ni pamoja na Kamera nne kwa nyuma za MP 40, MP 20, MP 8 na kamera ya mwisho hii ni TOF 3D Camera. Simu hii inakuja na RAM ya GB 6 au GB 8 pamoja na ukubwa wa ROM wa GB 128, GB 256 na GB 512. kujua zaidi kuhusu simu hii angalia video hapo chini.

Kama unataka kulinganisha ipi ni bora kati ya simu hizi unaweza kuangalia video hapo chini ya Samsung Galaxy S10 Plus.

Simu hizi zote hazijatofautiana sana kwa mfano Huawei P20 pro ya mwaka jana inafanana karibia kila kitu na hii Huawei P30 pro,pengine tofauti ni chipset tu na features za camera tu.
Tukija kwa upande wa samsung ndio kabisa wahuni tu sikuhizi CAMERA zao zinapigwa mbali na Huawei kuanzia mwaka jana mfalme wa simu yenye CAMERA bora ilikuwa Huawei P20 pro.

Wabongo wengi hawajui technology ya NOKIA hasa kwenye camera department, hizo simu zote ulizoweka hapo juu zimepitwa mbali sana na NOKIA 9 pureview simu yenye penta lenses 5 cameras huku lenses zote zikikusanya mwanga mara 10 zaidi ya simu zingine.
Nokia-9-PureView-hero-1024x768.jpg
 
Simu hizi zote hazijatofautiana sana kwa mfano Huawei P20 pro ya mwaka jana inafanana karibia kila kitu na hii Huawei P30 pro,pengine tofauti ni chipset tu na features za camera tu.
Tukija kwa upande wa samsung ndio kabisa wahuni tu sikuhizi CAMERA zao zinapigwa mbali na Huawei kuanzia mwaka jana mfalme wa simu yenye CAMERA bora ilikuwa Huawei P20 pro.

Wabongo wengi hawajui technology ya NOKIA hasa kwenye camera department, hizo simu zote ulizoweka hapo juu zimepitwa mbali sana na NOKIA 9 pureview simu yenye penta lenses 5 cameras huku lenses zote zikikusanya mwanga mara 10 zaidi ya simu zingine.View attachment 1054972
Hii simu tatizo lake kubwa ni image processing na fingerprint.... Unless otherwise iko super sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia kuna pahala niliona kuwa watakuja kutoa extended version ya hii simu, may be itakuja kuweka sawa mambo kama hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ni tatizo la software sio ishu sana ni kama ilivyo Samsung S10 inavyozingua 5GLTE.
Ila kwa mwaka huu hamna simu ambayo itaipiku NOKIA 9 kwenye upande wa camera acha tusubiri review za gsmarena tutarudi tena kwenye comparison
 
Habari wana JF Kama wewe ni mfuatiliaji wa maswala haya ya teknolojia najua utakuwa unajua kuwa leo kampuni ya Huawei imezindua simu mpya ya Huawei P30 na P30 Pro. Lakni moja kati ya simu bora kati ya Hizi ni P30 Pro ambayo inakuja na sifa bora sana. Unaweza kusoma sifa kamili hapa.

Baadhi ya sifa za simu hii ni pamoja na Kamera nne kwa nyuma za MP 40, MP 20, MP 8 na kamera ya mwisho hii ni TOF 3D Camera. Simu hii inakuja na RAM ya GB 6 au GB 8 pamoja na ukubwa wa ROM wa GB 128, GB 256 na GB 512. kujua zaidi kuhusu simu hii angalia video hapo chini.

Kama unataka kulinganisha ipi ni bora kati ya simu hizi unaweza kuangalia video hapo chini ya Samsung Galaxy S10 Plus.

mkali galaxy s10 plus ni zaid ya cm mkuu nunua achakuangalia youtube
 
Kwa hyo hizo kamera ndo vitu vya upekee vilivyomo kwenye simu hizo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Manufacturers wanafanya research zenye kutumia budget kubwa kwajili ya camera department tu na hii ni baada ya kuona watumiaji wanachizika na picha tu...
Jambo ambalo ni uendawazimu wa mwanadamu wa leo,75% wananunua simu hizi za bei mbaya kwaajili ya picha tu.

Simu bila gimmicks za camera huwezi kuuza kwa kugundua hilo ndio maana simu zinashina kwa ubora wa camera tu basi
 
Overall s10 plus ni simu bora zaidi duniani kwa sasa inawezekana imepitwa camera za Nokia 9 na P30 ila s10 ina tick dots nyingi vitu kama.
1. display nzuri ya super amoled.
2. Support kubwa ya developers
3. Samsung ni rahisi zaidi kuitweak vitu kama custom roms, kuweka mods mbalimbali.
4. Japo user interface yao sio nyepesi zaidi ila kwenye features siku zote wapo vizuri zaidi.
5. Warranty nzuri hasa kwa huku kwetu. Etc

Karibia kila kitu utakachogusa kwenye hardware ni kizuri tofauti na brands nyengine ambazo zinaconcetrate kwenye kitu fulani na kutumia hela nyingi kukitangaza wakati mahala pengine wapo average.
 
Ok
 
Simu hizi zote hazijatofautiana sana kwa mfano Huawei P20 pro ya mwaka jana inafanana karibia kila kitu na hii Huawei P30 pro,pengine tofauti ni chipset tu na features za camera tu.
Tukija kwa upande wa samsung ndio kabisa wahuni tu sikuhizi CAMERA zao zinapigwa mbali na Huawei kuanzia mwaka jana mfalme wa simu yenye CAMERA bora ilikuwa Huawei P20 pro.

Wabongo wengi hawajui technology ya NOKIA hasa kwenye camera department, hizo simu zote ulizoweka hapo juu zimepitwa mbali sana na NOKIA 9 pureview simu yenye penta lenses 5 cameras huku lenses zote zikikusanya mwanga mara 10 zaidi ya simu zingine.View attachment 1054972

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom