Msaada simu yangu inaonyesha emergency calls only

Kuna uwezekano simu yako ikawa imefungwa imei number jaribu kuwasiliana na mtoa huduma wako . Alaf pia jaribu kuconnect internet kupitia wi-fi alaf toa mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom