KUWEKA LINK MSAADA TAFADHALI

teac kapex

teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
320
225
Enyi wadau wa Tekinolojia naomba mnisaidie namna ya kuweka link, hapa nimefungua website ya Kanisa na shida yangu ni kwamba kuna Fomu za wakuu wa idara ndani ya Kanisa ambazo nahitaji kuziweka zikiwa katika mfumo wa word na excel ili mtu anayehitaji fomu asipate taabu ya kuzitafuta kwingine, akiingia anakutana na link inayomwelekeza kwenye fomu ambayo ataijaza na kisha ku submit kwa adimin. sasa nitafanyaje sina utaalamu sana, natanguliza shukrani kwenu najua hapa ni kisima cha maarifa
 
teac kapex

teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
320
225
Bado nasubiri

Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
 
teac kapex

teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
320
225
Nahitaji njia ya kuziweka hizo fomu kwenye web ya Kanisa sio kibiashara mambo ya Mungu hayo toa elimu bure na Mungu atakubariki,
Yaani naweka link mtu akigusa inamwongoza kwenye hiyo fomu,

Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
 
BOB OS

BOB OS

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
3,255
2,000
umetumia platform gani kuitengeneza(naamaanisha wordpress,joomla,etc)?
au umecode from scratch ?
ile nikupe njia rahisi ya kudownload and upload hizo file
 
teac kapex

teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
320
225
umetumia platform gani kuitengeneza(naamaanisha wordpress,joomla,etc)?
au umecode from scratch ?
ile nikupe njia rahisi ya kudownload and upload hizo file
Kifupi web inatokana na template kutoka netadventist.org, hivyo sina ninachokijua zaidi ya kuedit hiyo template na kuongezeavbasdhi ya vitu hebu ingia kahama.adventistafrica.org uone

Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
 
teac kapex

teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
320
225
kahama.adventistafrica.org

Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
 
teac kapex

teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
320
225
umetumia platform gani kuitengeneza(naamaanisha wordpress,joomla,etc)?
au umecode from scratch ?
ile nikupe njia rahisi ya kudownload and upload hizo file
Yaani hiki unachokisema naona mauza uza tu, daah sina ninachojua rafiki toa tu elimu

Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
 
BOB OS

BOB OS

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
3,255
2,000
Yaani hiki unachokisema naona mauza uza tu, daah sina ninachojua rafiki toa tu elimu

Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
usihofu mkuu ,,elimu utaipata tu na hizo file utaziweka na kuupload...
kuna kazi naimalizia soon nitaicheki...
 
teac kapex

teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
320
225
Bado nina matumaini juu yako kuwa utamaliza tatizo langu

Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
 
Top Bottom