Penda kuiondoa akili yako katika comfort zone kutaongeza ubunifu na uvumbuzi

Science Priest

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
1,676
2,000
Tofaur kubwa ya wazungu na jamii nyingine ni uwezo wa kutoweka akili zao katika comfort zone, lakin changamoto kubwa inayotukabili sis jamii nyingine ni ile hali ya kuiweka akili zetu katika comfort zone, inaua ubunifu na uvumbuzi.

Comfort zone ni le hali ya kutokua na shauku kutumia akili katika kada fulani ili uweze kuvumbua na kubuni ili uweze kutimiza malengo fulani.

Kama kazin pakitokea mfanyakaz ambaye hatakubali kuiweka akili yake katika comfort zone huyo mfanyakazi lazima awe mfanyakaz bora.

Wazungu tokea zaman walijua jinsi ya kuitumia hii formula ya kutoiweka akili zao katika comfort zone. Mpaka Leo japokua wameendelea sana still akili zao hawajaziweka kwenye comfort zone ndo maana wanaendelea kuwa wabunifu na wavumbuzi.
 

Slim5

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
25,623
2,000
kuna Kiukweli Fulani.... Lakini hii na other factors ikiwemo financial muscles na politics
 

Castle_Lite

JF-Expert Member
Sep 10, 2016
639
1,000
Ni kweli,
Ila Definition ya comfort zone uliyoitoa sio sahihi.

Comfort imetokana na neno comfortable.
Means relaxation / kuridhika na hali/ mambo yanayokuzunguka hata kama yanakupa raha/ karaha.
Means kutofanya jitihada ya elimination , kuchukulia kawaida/ mazoea nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Science Priest

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
1,676
2,000
Ni kweli,
Ila Definition ya comfort zone uliyoitoa sio sahihi.

Comfort imetokana na neno comfortable.
Means relaxation / kuridhika na hali/ mambo yanayokuzunguka hata kama yanakupa raha/ karaha.
Means kutofanya jitihada ya elimination , kuchukulia kawaida/ mazoea nk

Sent using Jamii Forums mobile app
Typing error instead ya kuwa ingetakiwa kutokua
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom