Msaada wakuu nimekwama katika kusign in kwenye iCloud account inaniletea jumbe hiyo hapo [emoji115]
Sent from my iPhone using Tapatalk
Hapo huwezi kutengeneza iCloud humo humo , tengenezea kwenye kifaa kingine kama computer au iphone nyingine au sehem nyingine then kwenye hiyo simu fanya ku sign in tu .
Sent from my iPhone using JamiiForums