Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 16,490
- 38,393
Wakuu ni takribani siku 4 sasa hawa jamaa wanafunga sana account za watu, sijui wamekumbwa na nini!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwa sisi tunaotoa traffic fb tutafanyaje mkuu kama sio kufanya redirectionaccount hizi huwa hazifungwi kamwe ===>>>,,, CTR BELOW 15%, No redirect links(re-direct to fake links), no copy righted contents,, real traffic, 😎😎
una page ctr ngapiSasa kwa sisi tunaotoa traffic fb tutafanyaje mkuu kama sio kufanya redirection
Sent using Jamii Forums mobile app
😛😛😛😎😎😎Wafunge tu, viela vyao vilinisaidia kipindi nipo chuo ...
Mzee usiseme hivyo.. Hapa nina acc ina zaidi ya $4k...nahemea mipira hapa!!Wafunge tu, viela vyao vilinisaidia kipindi nipo chuo ...
ok