Halotel wamenikosha sana roho Jamani
500MB shillings 500
1000mb shillings 1000
15gb elfu kumiiii na dakika na sms kibaoooo nani kama Halotel hakuna jamani Hamieni halotel huku mambo ni...
Heshima kwenu wakuu.
Naombeni mnisaidie link ya ku-download app ya Showbox kwenye simu tafadhali.
Nimejaribu ku-search google lakini siipati ile yenye jicho wakuu. Ninazozipata nikizi-download...
Habari za Leo wana jf natumaini mu wa waziwa afya na nguvu tele
Kama kichwa cha habari kinavojielez mm nimetumi hii cm aina ya Microsoft kwa mda si chini ya mwaka mmoja ila bado Kuna baadhi ya...
Habari wakuu,
Najihusisha na biashara ya kukodisha CD za kikorea ila kamtaji kamekua nataka kununua printer yenye kuprint picha ya rangi na kutoa copy cava za movie kama zilivyo
Je printer ya...
Jamani kuna simu ya TECNO CX Ambayo fundi alichange touch screen and system charge, sasa baada tu ya zoezi hilo naona Network yake iko chini sana (Bar Moja), had sometimes nikiweka 3G only then...
Salama wakuu kuna laptop hapa aina ya HP Compaq nw 8240 inatatizo ukiwasha inaleta msg kuwa SMART CARD NOT PRESENT jamaa anasema mwanzo haikuwa hivi ilizima tu haikuwaka akaipeleka kwa fundi nea...
Wakuu samahani, ninafanya project ambayo inahusisha kutumia PH sensor kwa ajili ya kupima PH value katika maji, ila nimepata changamoto kupata hii sensor hapa kwetu Tanzania maana nina hitaji kwa...
Habari zenu wana JF, naombeni msaada mwenye kujua like button code anisaidie, Google nimejaribu kutafuta lakini naona kama sipati results hivi.
msaada please!
Mtandao Wa Simu Wa Tigo Una Week Sasa Hivi Ukiandika Ujumbe Mfupi ,Ukimtumia Mtu Unaandikiwa Unsuccessful
Niliwapigia Huduma Kwa Mteja Wanasema Ni Tatizo Ambalo Mitambo Yao Ina Hitilafu...
Habari wana jf
wakuu kuna pc jamaa kaniletea hapa ananiunizia laki 4 pc yenyewe ni
accer E1-510
Processor Intel(R)Pentium (R)CPU N3520@ 2.16GHZ(4cpu) 2.2GHz
Ram 4GB
processor yake ni Quad Core...
Hello!,bandugu....nimepotelewa na smu yangu samsung s6,Naomba mwenye kujua maujanja ya kuweza kuitrack na kuweza kumpata mwizi ,Natangaza donge nono kwa atakaye weza kumpata mwizi pamoja na smu yangu
Habari za muda huu wapendwa. Poleni na miangaiko ya shughuri mbalimbali na moja kwa moja niende kwenye mada
Naitaji mtu mwenye ujuzi mkubwa wa mambo ya usimikaji au uwekaji wa security kwenye...
Huawei ndani ya siku 85 imeuza simu million 10 aina ya P 30 series ukilinganisha na mauzo ya P 20 mara baada ya kuzinduliwa.Ikumbukwe pia Huawei imezindua simu zake aina ya Nova 5 na 5i ambazo...
CHINA: Mtandao wa WhatsApp umeingia kifungoni nchini China ukiifuatia na Instagram, Twitter, Facebook, Gmail, Snapchat na Pinterest.
WhatsApp imeanza kufungiwa taratibu katika kipindi cha wiki...