Kulikoni Mitandao Wa Tigo Kutuma Ujumbe Mfupi(Sms) Hauendi

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
48,928
54,144
Mtandao Wa Simu Wa Tigo Una Week Sasa Hivi Ukiandika Ujumbe Mfupi ,Ukimtumia Mtu Unaandikiwa Unsuccessful


Niliwapigia Huduma Kwa Mteja Wanasema Ni Tatizo Ambalo Mitambo Yao Ina Hitilafu, Ingawa Juhudi Za Kutatua Zimechukua Muda Mrefu Sana.

Baadhi Ya Watumiaji Hawana Uwezo Kupokea Ujumbe Unaotumwa Pia Wengine Wanatuma
TCRA Tusaidieni Tupate Kufidiwa Hiki Kipindi Ambacho Huduma Haipatikani Huku Ukiwa Umenunua Kifurushi Na Wao Tigo Ndiyo Tatizo
 
Huenda hamkuwa na salio au kifurushi.

Mimi sijapata hilo tatizo kwenye voda
 
Back
Top Bottom