MSAADA: Nahitaji mtu anayeweza kuongeza signal strength kwenye Smartphone i.e TECNO Camon CX

Sir Alex

Member
Jan 27, 2013
15
3
Jamani kuna simu ya TECNO CX Ambayo fundi alichange touch screen and system charge, sasa baada tu ya zoezi hilo naona Network yake iko chini sana (Bar Moja), had sometimes nikiweka 3G only then nipo ndani ya chumba inapotea kabisa Msaada. NOTE: Kwa Technical issues hata kama uko mbali ukanisaidia kunipa maelekezo ninaweza kuitengeneza even Hardware (Nahitaji tutorial (UJUZI)).
 
Nafikiri shida itakuwa kwenye Antenna. Kama haijachomekwa au haina connectivity hiyo hali inaweza tokea.

Au otherwise inaweza kuwa ni shida ya Soc.
 
Kama wire wa antena upo connect vizuri kwa upande wa circuit na kwa upande wa plate ya system chaji,check kibao cha system chaji kuna termina mbil moja ya gnd na nyinge gsm.angakia km zipo maana na zinagusa kwenye huo mfuniko wako vizuri wakat ukifunga.
Asante antenal iko poa kabisa. Iko Connected what else
 
Uo wata wa antena u push kabisa hapo chini nyuma uumane na board. Na uweke vema unapokaza housing usiuguse. Hapo ni antena tu aijakazwa
Asante antenal iko poa kabisa. Iko Connected what else
 
Back
Top Bottom