Huawei yazidi kuchanja mbuga

Huawei yazidi kuchanja mbuga

Kibumbula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2018
Posts
3,697
Reaction score
3,413
Huawei ndani ya siku 85 imeuza simu million 10 aina ya P 30 series ukilinganisha na mauzo ya P 20 mara baada ya kuzinduliwa.Ikumbukwe pia Huawei imezindua simu zake aina ya Nova 5 na 5i ambazo nazo ni bomba huku mate X foldable ikiwa kwenye maandalizi ya kuzinduliwa huku Samsung akiihofia.

Yetu macho na masikio.

Screen shot
Screenshot_20190629-073129.jpeg
 
Zimenunuliwa na watumiaji au wasambazaji?
Na hawajauza China tu?
 
Sahizi Huawei anawa karibisha Developers wafanye mambo kwenye OS yao. Hong Meng
 
Back
Top Bottom