Msaada ni application ipi nzuri ya kuhaidi(hide) meseji za kawaida

Nyanda lunduma

Senior Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
187
Reaction score
68
Habari zenu wakuu, naombeni msaada wa apps yeyote ya kuhide meseji za kwa kawaida, ili kulinda ndoa zetu .
 
Pambana na hali yako hayo si maisha na yeye akiamia kuhide zake nani atakuwa mshindi?
 
Habari zenu wakuu, naombeni msaada wa apps yeyote ya kuhide meseji za kwa kawaida, ili kulinda ndoa zetu .
Apps zimejaa kibao tafuta kwenye Play/App store. Hata hivyo, ndoa hailindwi kwa app. Na hata ukifanikiwa kuficha hizo SMS, mkeo naye kama ni jambazi kama wewe naye anaweza kuweka app ya kuzisoma hata ukizifuta.
 
Back
Top Bottom