Ulikuwa unajua IMEI namba ya simu? Kama ulikuwa hujui basi hutaweza kuipata tena. Na hata kama ulikuwa unajua IMEI mara nyingine unaweza usiipate. Yuko polisi mmoja alikuwa anafanya contract ya kutafuta simu zilizopotea ikiwa utampa IMEI namba. Akiipata unamkatia mshiko. Ikafika mahali na yeye akageuka paka shume. Ukimpa hiyo namba akimpata mwizi wako anamtoa kitu kidogo na anachukua simu yako na kuuza halafu anakuambia hajaipata.Hello!,bandugu....nimepotelewa na smu yangu samsung s6,Naomba mwenye kujua maujanja ya kuweza kuitrack na kuweza kumpata mwizi ,Natangaza donge nono kwa atakaye weza kumpata mwizi pamoja na smu yangu
Yah!!,,imei number naikumbukaUlikuwa unajua IMEI namba ya simu? Kama ulikuwa hujui basi hutaweza kuipata tena. Na hata kama ulikuwa unajua IMEI mara nyingine unaweza usiipate. Yuko polisi mmoja alikuwa anafanya contract ya kutafuta simu zilizopotea ikiwa utampa IMEI namba. Akiipata unamkatia mshiko. Ikafika mahali na yeye akageuka paka shume. Ukimpa hiyo namba akimpata mwizi wako anamtoa kitu kidogo na anachukua simu yako na kuuza halafu anakuambia hajaipata.
Ok shukran,ngoja nijarbuKama una samsung account nenda hapa
Log in alafu itakuonesha kwenye map simu ilipo...Find My Mobile
findmymobile.samsung.com
Nipe namba yke hyo paka shumeUlikuwa unajua IMEI namba ya simu? Kama ulikuwa hujui basi hutaweza kuipata tena. Na hata kama ulikuwa unajua IMEI mara nyingine unaweza usiipate. Yuko polisi mmoja alikuwa anafanya contract ya kutafuta simu zilizopotea ikiwa utampa IMEI namba. Akiipata unamkatia mshiko. Ikafika mahali na yeye akageuka paka shume. Ukimpa hiyo namba akimpata mwizi wako anamtoa kitu kidogo na anachukua simu yako na kuuza halafu anakuambia hajaipata.
Sina contact zake. Ni muda umepita.Nipe namba yke hyo paka shume
Basi jaribu kuhangaika polisi au uulizie kampuni uliyokuwa unatumia line yao. Tatizo linakuja kuwa unakuta unatoa fedha za hapa na pale kiasi ambacho unaweza kununua simu nyingine!Yah!!,,imei number naikumbuka
Still, kama simu ina vitu muhimu ni vizuri kujaribu. Sio wote wanajua mbinu za kubadilisha.Siku hizi IMEI zinabadilishwa hapo Kariakoo.
Kazi ya dakika chache tu. Ndiyo maana wizi was smart phone umerudi upya.
Dar es salaamUko mkoa gan mkuu?!
Sio wote wanajua hili jamboSiku hizi IMEI zinabadilishwa hapo Kariakoo.
Kazi ya dakika chache tu. Ndiyo maana wizi was smart phone umerudi upya.
Hard TargetMi npo Arusha
kbgUlikuwa unajua IMEI namba ya simu? Kama ulikuwa hujui basi hutaweza kuipata tena. Na hata kama ulikuwa unajua IMEI mara nyingine unaweza usiipate. Yuko polisi mmoja alikuwa anafanya contract ya kutafuta simu zilizopotea ikiwa utampa IMEI namba. Akiipata unamkatia mshiko. Ikafika mahali na yeye akageuka paka shume. Ukimpa hiyo namba akimpata mwizi wako anamtoa kitu kidogo na anachukua simu yako na kuuza halafu anakuambia hajaipata.
Hili ndo tatizo lao aaisee yaani hawa jamaa wanaitwa police hawaaminiki kabisa hata kidogoUlikuwa unajua IMEI namba ya simu? Kama ulikuwa hujui basi hutaweza kuipata tena. Na hata kama ulikuwa unajua IMEI mara nyingine unaweza usiipate. Yuko polisi mmoja alikuwa anafanya contract ya kutafuta simu zilizopotea ikiwa utampa IMEI namba. Akiipata unamkatia mshiko. Ikafika mahali na yeye akageuka paka shume. Ukimpa hiyo namba akimpata mwizi wako anamtoa kitu kidogo na anachukua simu yako na kuuza halafu anakuambia hajaipata.