Haloteli hana Mpinzani hapa Tanzania mimi na wewe Daima

Quan Lup

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
640
750
Halotel wamenikosha sana roho Jamani
500MB shillings 500
1000mb shillings 1000
15gb elfu kumiiii na dakika na sms kibaoooo nani kama Halotel hakuna jamani Hamieni halotel huku mambo ni mazuri....
weka pesa yako halopesa.... utweza kujiunga vifurushii hivii.......

hawajawhi kuniangusha niko nao snice 2015 till now hawajawahi kuniboaa..
 
Hivi Mtoto wa kiume huoni soo kusema Unakoshwa
Halotel wamenikosha sana roho Jamani
500MB shillings 500
1000mb shillings 1000
15gb elfu kumiiii na dakika na sms kibaoooo nani kama Halotel hakuna jamani Hamieni halotel huku mambo ni mazuri....
weka pesa yako halopesa.... utweza kujiunga vifurushii hivii.......

hawajawhi kuniangusha niko nao snice 2015 till now hawajawahi kuniboaa..
 
Kifurushi kipi mkuu unapo pata 500 mb Kwa 500?

Kifurushi kipo mkuu,
Binafsi najiunga kifurushi cha
GB 1 +
Dakika 100 +
Sms kwa Tsh 1,000 tu,
na hiyo ni kwa wiki.

Upande wa Intaneti wako vizuri, kuangalia video Online bila "kugomagoma" wala nini.

Kitu cha MB's 450 huwa nadownload ndani ya dakika kadhaa.
Binafsi sioni zaidi ya Halotel.

Halotel, Pamoja katika Ubora.
 
Wapi naenda mkuu Kwa kupata kifurushi icho Mimi natumia line ya chuo
 
Halotel wamenikosha sana roho Jamani
500MB shillings 500
1000mb shillings 1000
15gb elfu kumiiii na dakika na sms kibaoooo nani kama Halotel hakuna jamani Hamieni halotel huku mambo ni mazuri....
weka pesa yako halopesa.... utweza kujiunga vifurushii hivii.......
hawajawhi kuniangusha niko nao snice 2015 till now hawajawahi kuniboaa..
Tatizo ni kuipata hiyo halopesa
 
Hizi ni promotion kutoka kwa vijana wa Halotel wanakuja kivingine. Kifupi halotel hamna kitu kwa sasa
 
Nimejiunga jana hiyo ya 1000 unapata gb1wiki nmejiunga saa 5asubuhi kufikia saa 11jioni mb eti zimeisha sijaingia you tube ni jamii forum na insta tu basi
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom