Wapi naweza kupata PH sensor ambayo ni arduino compartible hapa Tanzania

mpndwa vivi

Member
Sep 18, 2014
8
0
Wakuu samahani, ninafanya project ambayo inahusisha kutumia PH sensor kwa ajili ya kupima PH value katika maji, ila nimepata changamoto kupata hii sensor hapa kwetu Tanzania maana nina hitaji kwa haraka kiasi nimeshindwa kuagiza nje kwa kukwepa kusubiri
 
Back
Top Bottom