Printer ya aina gani itanifaa kwa matumizi yangu ya kila siku

monotheist

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
720
943
Habari wakuu,
Najihusisha na biashara ya kukodisha CD za kikorea ila kamtaji kamekua nataka kununua printer yenye kuprint picha ya rangi na kutoa copy cava za movie kama zilivyo
Je printer ya aina gani itanifaa na itanigharimu kiasi gani?
 
Back
Top Bottom