IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,881
- 7,527
........................
Nenda nje ukishanunua laini ya huko na ukajiunga WhatsApp then unarudi bongoWadau Habari zenu natafuta namna ipi ya kutumia namba ya whatsapp ya nje ya nchi yoyote. Sababu kubwa ni kwamba nakerwa na watu kuchukua namba yangu kwenye groups na kunipigia hivyo nataka kutumia namba ya nje
Any help guys.
Anaweza akajiunga tena kwa hiyo namba ikitokea labda ame uninstall ?Nenda nje ukishanunua laini ya huko na ukajiunga WhatsApp then unarudi bongo
Paragraph ya pili sahihi kabisaKama una mtu nje ya nchi mwambie akununulie line aiweke on wakati unaregister na whatsapp ukishapata codes its done.
But huu wote ni ujinga na kujitesa bure, kama shida ni kupigiwa si unaregister tu namba ya mtandao wowote for whatsapp only ukishamaliza unaitupa mbali haipatikani