Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu, Hivi majuzi nimeanza nimeanza kujifunza kutumia Ae sasa shida ninayoipata ni kuwa nikiiport video ina play kwa sekunde 14 hivi na haiendelei tena. Nimejaribu kubadilisha duration katika...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Hi Team, I found these more interesting for those who want to pursue DS, ML and or AI. No payment..you Learn free, execersice, lab practice then Exam for each Module.. Link...
7 Reactions
2 Replies
1K Views
The next big thing to hit the Mobile market This technology looks amazing more than 1GB/S on your home WiFi. Can't wait to stream HD video to my Android powered TV.
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanabodi habari zakutwa. Kama kichwa kinavyojieleza kwawiki nzima simu zangu zinavyoingia ndivyo nikifika nyumbani mkewangu anavyo nipa taarifa na kulalamikia maongezi yangu akinilaumu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Natumai wote mko poa kabisa, tivii yangu aina ya EVVOLI INCH 32 kioo kimepasuka. Hivyo naomba kwa anaejua wapi naweza kipata anisaidie.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba ushauri jamani, mimi niko interested san kujifunza namna ya kutengeneza softwares kwa ajili ya matumizi mbali mbali kama vile 1.school management systems, 2.business management systems...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
MSAADA JAMANI MWENYE CURRENT KEYS ZA OFFICE 2016 TAFADHALI NISAIDIE
0 Reactions
2 Replies
2K Views
*****†********
0 Reactions
3 Replies
907 Views
Jamani nawaombeni msaada. Je1 Naweza pata wapi fito za dish 8 ft. Nimewahi ambiwa nichonge nondo. Hata hivyo, hazikunifaa kabisa.
0 Reactions
3 Replies
884 Views
Siku hizi sio lazima sana utumie muda mwingi kudevelop system from scratch. Kuna open source marketi nyingi ambapo unaweza nunua mfumo unafanya customization kisha unauza. Mfano ni envato market...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
msaada wakuu nipo dar sim yangu red me note 7 pro inasumbua kukamata internet ....nimeshafanya settings zote muhmu bado tu kuresett....
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nisiwe na maneno mengi sana but natafuta ushauri wa kipi cha kufanya maana baada ya ku update OS from 7 to 8 device imekuwa ikiporomosha charge faster sana! Kibaya zaidi inachemka mno hasa kipindi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sorry wana jf, naomba kuuliza juu ya PC yangu natumia HP 430 lakin port zake nikichomeka flash inakubali kusoma na kutulia fresh lakini nikitumia USB ya kwenye simu naona inasoma lakini haitulii...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wakuu, jamani nawezaje kupata network unlock code ya Samsung j7?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
WARNING: KWENYE HII COURSE NITATENGENEZA WEBSITE,MOBILE APPLICATION MOJA , PAMOJA NA APP BUBGET KWA AJILI YA MATUMIZI YAKO YA MWEZI. KUNA WATU WANAPENDA MTEREMKO WANAPENDA KUCHUKUA IDEA YA...
10 Reactions
62 Replies
11K Views
Naomba kujua ubora wa camera ya canon EOS T5/1400D ,lensi 18-55mm Megapix 24 Kwenye picha na video shooting
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu wapi naweza pata hii bidhaa kwa hapa bongo na bei zake zikoje?
0 Reactions
4 Replies
922 Views
Salute comrades Sasa yapata wiki kila nikiingia ktk AZAM APP nishuhudia vitu vya hovyo kabisa, unaingia Azam two unasikia kipindi kinaendelea lakini picha/ watu hawaonekani, vivyo hivyo channel...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika mabadiliko ya kushtua kwetu wapenzi wa modded WhatsApp Apk ni hili, Official Whatsapp version kupiga marufuku watumiaji wanaotumia programu za Whatsapp kama vile GBWhatsapp, FmWhatsApp...
3 Reactions
195 Replies
43K Views
napenda kuangalia movie zenye teknolojia ya juu kama matrix, iron man n. k natamani niwe na uwezo wa kutengeneza movie kama hizo nifanyeje? au nisomee vitu gan ili niweze kutengeneza movie kama hizo?
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…